maisha hayaendeshwi kwa ndodo mpendwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
^^
Naomba tujadiliane kwa mabinti ambao wamekutana na wanaume ambao hawako tayari kwa harusi au kuhalalisha ndoa.
Anakupenda sana lakini kwa sababu ambazo pengine ni za msingi au la! Hayuko tayari kwa harusi,,ndoto ambayo umeiota tangu utoto.
Lakini anakuambia "...tuishi kwanza,,harusi itafuata baadae"
Je,unamwelewa vipi mwanaume wa aina hiyo?
^^