Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,253
unaweza kufunga ndoa bila harusi, inawezekana kabisa na kufanya tafrija ya kisela tu. hizi tafrija za kufa mtu binafsi sizipendi kabisa.
unigegede kila siku hivi hivi kisa ndoa? aah wapi.....siamii kwa mtu kamwe
Kumbe mgefunga ndoa kabla ya kuishi wote hivyo vitabia usingevijali. Choice zote mbili zinategemea uamuzi wa walengwa na zote zaweza kuwafaa au kuwaangusha.
Kiimani hairuhusiwi kuishi kwanza halafu ndoa baadae na pengine hata kwa jamii unayoishi inaweza ikawa haikubaliani na uamuzi wa kuishi bila ndoa. Lkn nimeshuhudia ndoa kadhaa baada ya kufungwa maisha yanakua ndivyo sivyo yaani wanakua hawafanani kabisaa utadhani walilazimishwa kuoana. Mpaka wakati mwingine unatamani bora wangeishi kwanza halafu ndoa ingefuata baadae na hasa ukizingatia ndoa zetu hakuna kuachana . Nionavyo mimi kila uamuzi unaochukuliwa na wahusika una risk . Sasa sina jibu moja kama je ni sawa kuisi kwanza bila ndoa kwa sababu yoyote au kufunga ndoa kwanza ijapokua moyoni mwangu ningependa ndoa ianze na si kuishi kiuchumba. Tukumbuke kadiri tunavyokua pamoja ndipo tunapojuana zaidi mpaka vile vitabia vya ndani kabisa, sasa huenda ulimpenda sana mhusika lkn waweza katishwa tamaa na vitabia hivyo so unaamua kutofunga nae ndoa wakati tayari mlishaishi pamoja. Kumbe mgefunga ndoa kabla ya kuishi wote hivyo vitabia usingevijali. Choice zote mbili zinategemea uamuzi wa walengwa na zote zaweza kuwafaa au kuwaangusha.
unajua desturi ya waafrika kwenye ndoa? Kubebana ndiyo msingi wa ndoa nyingi za kiafrika, dini ndio zimefanya utaratibu uwe wa tofauti, lakini 'definition' yangu ya ndoa ni makubalino baina ya watu wawili, kuishi maisha ya kinyumba, kuwe na mashahidi au la, hizo nyingine tunaweka ni mbwembwe tu!Binafsi nilikuwa na mawazo kama hayo kabla ya ndoa ila mchumba wangu alikataa na tukafunga ndoa vizuri tu. Tatizo ninaloliona hapa ni je huyo kijana kweli atatimiza hiyo ahadi au badae ataghairi??Pia sio desturi yetu sis waafrika kukubali kuishi na mtu kabla ya ndoa na jamii haiwezi kukuelewa. Cha muhimu hapa ni sisi kubadilika na kuwa na harusi fupi ambazo hazina gharama kubwa kama sasa.
. . Binafsi nina mtazamo kuwa harusi ni 'confirmation' tu ya kuuambia umma kuwa fulani ni mume au mke wako, lakini sioni shida ya kuishi na mwanamke halafu mkiwa mnajipanga 'kuthibitisha' baadaye(kijamii lakini, though kidini ni uzinzi), wanawake wengi wanaona pengine mwanaume anaweza akabadilisha mawazo, kama ni wako ni wako tu na kama si wako hata ukilazimisha kuoana mapema hatakua wako tu. . .^^Naomba tujadiliane kwa mabinti ambao wamekutana na wanaume ambao hawako tayari kwa harusi au kuhalalisha ndoa.Anakupenda sana lakini kwa sababu ambazo pengine ni za msingi au la! Hayuko tayari kwa harusi,,ndoto ambayo umeiota tangu utoto.Lakini anakuambia "...tuishi kwanza,,harusi itafuata baadae"Je,unamwelewa vipi mwanaume wa aina hiyo?^^
Unajua kuna vitabia kama vile kukoroma mtu akilala au kusaga meno au labda uvivu wa kutandika kitanda, namna ya utumiaji wa dawa ya mswaki ie anaminya kuanzia ktkt , mbishi, anapenda kususa, anapenda sana kubembelezwa , akiongea kwa muda mrefu anaongea pumba na vingine vingi dear.Vitabia vya aina hii ndio ninavyoviita vitabia vidogo vidogo . Lkn bado naweza kusema hakuna uamuzi ambao ni 100% correct/ perfect.Kuvijali unaweza ukavijali, lkn PINGU ya maisha (si ndio wedlock) inakufanya uvivumilie.
Ila umehitimisha vyema, hakuna njia sahihi yenye assurance 100% kuwa mahusiano yatakuwa vyema.
^^
Naomba tujadiliane kwa mabinti ambao wamekutana na wanaume ambao hawako tayari kwa harusi au kuhalalisha ndoa.
Anakupenda sana lakini kwa sababu ambazo pengine ni za msingi au la! Hayuko tayari kwa harusi,,ndoto ambayo umeiota tangu utoto.
Lakini anakuambia "...tuishi kwanza,,harusi itafuata baadae"
Je,unamwelewa vipi mwanaume wa aina hiyo?
^^
Hivyo ni vya kawaida sana, ndivyo vinatufanya tuwe tofauti. Lkn ulevi wa kupindukia, au hata upigaji hii yaweza kufichwa vizuri ktk kipindi cha uchumba mkiwa mbali mbali. Lkn ni ngumu kuficha mkikaa pamoja say 6 month au mwaka. Na hizi pamoja na uzinzi ni tabia hatarishi ambazo zinaweza mtaka mtu adai talaka. Sasa ili kuepesha hiyo IMO no bora tuishi bila vows kwanza kwa kipindi fulani na things zikiwa vizuri then we go to the altar.Unajua kuna vitabia kama vile kukoroma mtu akilala au kusaga meno au labda uvivu wa kutandika kitanda, namna ya utumiaji wa dawa ya mswaki ie anaminya kuanzia ktkt , mbishi, anapenda kususa, anapenda sana kubembelezwa , akiongea kwa muda mrefu anaongea pumba na vingine vingi dear.Vitabia vya aina hii ndio ninavyoviita vitabia vidogo vidogo . Lkn bado naweza kusema hakuna uamuzi ambao ni 100% correct/ perfect.
Mmmh my dear kwangu mimi hizo nilizobold si vitabia vidogo, hizo ni tabia nisizoweza kuzivumilia hata kidogo nina aleji nazo mno mno tena hivi ninavyozisoma zishaanza kunidhuru lol. Mi mzima wangu vipi huko kwemaHivyo ni vya kawaida sana, ndivyo vinatufanya tuwe tofauti. Lkn ulevi wa kupindukia, au hata upigaji hii yaweza kufichwa vizuri ktk kipindi cha uchumba mkiwa mbali mbali. Lkn ni ngumu kuficha mkikaa pamoja say 6 month au mwaka. Na hizi pamoja na uzinzi ni tabia hatarishi ambazo zinaweza mtaka mtu adai talaka. Sasa ili kuepesha hiyo IMO no bora tuishi bila vows kwanza kwa kipindi fulani na things zikiwa vizuri then we go to the altar.
Hujambo lkn?
Mmmh my dear kwangu mimi hizo nilizobold si vitabia vidogo, hizo ni tabia nisizoweza kuzivumilia hata kidogo nina aleji nazo mno mno tena hivi ninavyozisoma zishaanza kunidhuru lol. Mi mzima wangu vipi huko kwema
Hahahaha nakwambia ungeishi kwa matumaini dear manake kila ambae ungemuuliza ufanyeje angakujibu vumilia tu sasa huku si kuishi kwa matumaini. Jitu lilishashindikana wewe utafunga wee na kwenda kwenye mikesha kuliombea ndio kwanza laongeza speed. My dear ndio maana nikasema njia zote zina risk kwa hili ulicheza vema nakupa thumbs up. Nimeona ndoa nyingi sana zenye matatizo mpaka huwa najiuliza si bora wangefunga ya bomani halafu kanisani wangepelakana baadae. Kiukweli kwenye kumpata mr/miss right ni kazi sana kwani hakuna njia iliyonyooka. Bado pia ukisema muishi wote kiuchumba mr anaweza akawa yupo vizuri idara zote lkn kwa pressure ya ndugu mnaweza kushindwa kuoana . Kuna familia moja watu wale waliishi kiuchumba kwa muda mrefu mno na walikua wanapendana kila wakitaka kuhalalisha ndugu wanakuja juu hawamtaki mwanamke hasa wazazi.Umeona eeh.
Sasa ndicho kilichonikuta mimi, for the 1st year ya mahusiano ya uchuchu nilijiona the luckiest woman in the whole world. Baada ya kumove in pamoja, a year may be two, abuse zikaanza. Imagine ningekuwa nimefunga ndoa ya kikatoliki si ningekuwa mfungwa mpaka sasa.
Umeona eeh.
Sasa ndicho kilichonikuta mimi, for the 1st year ya mahusiano ya uchuchu nilijiona the luckiest woman in the whole world. Baada ya kumove in pamoja, a year may be two, abuse zikaanza. Imagine ningekuwa nimefunga ndoa ya kikatoliki si ningekuwa mfungwa mpaka sasa.
huyo papuchi yangu ataisikia kwenye tv,,,
otherwise tukahalaloshe kwa paroko....
nani anataka kuliwa, kuzalishwa na kumwagwa. AKILI KUMKICHWA