Sawa, sasa kama waamuzi wa matokeo ni CCM, na imekua hivyo miaka nenda rudi nini kinachowafanya mshiriki uchaguzi??? Ni kuna njia mnanufaika na hizo chaguzi , kushinda uchaguzi sio sababu pekee ya nyinyi kushiriki..mna motives nyinginezo za kushiriki uchaguzi ilhali mnajua matokeo, so msipoweka bayana hizi motives au kusukumia ndani ya carpet ndivyo mtakavyoididimiza CHADEMA,sioni sababu ya nyinyi kulia lia mmaonewa,kama majibu ya uchaguzi tayari mnayo msishiriki..simple
Kuhusu Mbowe I agree ni uonevu,yeye sio gaidi,ila mngeweza kulitumia in your advantage....
Mwisho,ni kweli Faces mpya zinahitajika, sio tu waje CHADEMA kuuza sura,bali wawe na BRAINS na CREATIVITY, jinsi ya kupambana na kukipigania chama na kukipeleka mbele hata kwenye au katika climate ambayo ni ngumu(katiba mbovu)
Sawa mkuu,
Unaposema CDM haijawahi kupoteza ushawishi una maana gani, wakati unajua idadi ya wabunge wa CDM waliochaguliwa kuwa bungeni huu uchaguzi iliyopita hawafiki hata kumi compared na chaguzi zilizopita??
Naanza Kuhisi CDM tatizo kingine walilo nalo ni hawataki kuambiwa ukweli, you cant do the same thing over and over expecting different results, Old faces ndizo zinazowaangusha CHADEMA tuongee ukweli, kuwatumia hao wanasiasa wa zamani ni kama ku send messages to the public kuwa hamna jipya, hamuwezi kuwa na innovations wala Dira mpya, hasa kama mmeshindwa kuwa creative kwenye chama Chenu wenyewe kwa nini nikupe kura yangu... chaguzi zilizopita kushinda ama kutoshinda ziwe lessons kutu guide nini inatakiwa kifanyike in the future
Mambo mengine unayoongea ni kama vichekesho na hayana uhalisia. Inaonekana umedondoka kutoka Mars tarehe 1 Jan 2022.
Hizo new faces ndio wangewapa njia mpya sasa za kupambana na Dola, sioni kama sasa mna mbinu mpya ya kupigana na hio dola, by the way sijasema viongozi wafukuzwe bali wachukue back seat wawa coach viongozi wapya, hats sijui Unapinga nini mkuu hata makazini kuna staffs appraisals, performance yako ndio inakuweka, kama wameshindwa ku deliver kama walivyokua wanafanya before then wawapishe wengine
Wanachofanya ni sawa na kutoa hela kutoka mfuko wa kushoto na kuweka wa kulia wa suruali hiyo hiyo. Wapinzani watanzania kwanza Wanafiki, Waoga, hawa jiamini na wananjaa na ndio maana wote wana nunulika.Nilicho jifunza 2015 Tanzania hamna upinzani.
View attachment 2068890
Mkuu mimi mara chache naingia jukwaa la siasa, sasa umejuaje mimi sio mpenzi wa CHADEMA?
ni hofu au kitu gani? kwa nini chadema tu?, kuna nccr, act nk. hata huko mnaweza kwenda mkiona cdm haieleweki.
Ishu ya maana ni ipi hapo? Au ubongo wako umejaa ujinga basi kila ujinga una unamaana [emoji706]
Ndio kazi walio ichagua na hii ni demokrasia, so kama unakosoa wenzio nawe kubali kukosolewa.Kuwa wewe mpinzani si ushajua udhaifu?
Ndio kazi walio ichagua na hii ni demokrasia, so kama unakosoa wenzio nawe kubali kukosolewa.
Kwani ili ukosoe unatakiwa kuwa upande gani?Wewe upo upande gani?
Wewe siyo chadema.Wewe tafuta chama kingine cha kukishauri. Hatuwezi tumia akili zako zimejaa kamasi
Nom sense kama makamu mwenyekiti alirubuniwa na kwenda ccm unaisi chadema ni wajinga wake tena kuamini watu kizembe zembe vyama vingi vimepotea sababu iyoo slaa alikuwa CCM damu ni ngumu kumpa uenyekiti naye ni wale wale Tu mwenyekiti ajaye saivi ni lissu baada ya mbowe chadema si wajinga wajinga kama vyama vingineMkuu ninaunga mkono hoja!
Kiongozi ukishagaragazwa mara mbili kwenye uchaguuzi mku, lazima ufubae na kukosa mvuto na kuhitajika sura mpya toka miongoni mwa wanachama kindakindaki kuziba pengo.
Mfano wa ving'ang'anizi ni kama kina Lipumba na wengineo kama hao.
Nilivyofuatilia kujua kwa nini kuwe na uking'ang'anizi wa madaraka na sura zile zile miaka nenda rudi, nikaelezwa kuwa viongozi hao huwa wanashiriki kwenye uchaguzi huku wakielewa pasi na shaka kuwa wanaenda kushindwa.
Kinachoendelea baada ya uchaguzi huwa ni manufaa yao(ruzuku) na mema mengine ya nchi.
Na kwamba Uenyekiti wa chama, kwao ni kama uenyekiti wa Sacoss, ukiupoteza mambo yako hayakunyokei kwa kukosa maslahi binafsi.
Na usipoparangana kwenye uchaguzi, chama kinaonekana ni cha kwenye laptop kinafutwa, sasa lazima uonekane kila "term" ya uchaguzi unachakarika kuzugia!
Tungelipata vichwa chipukizi na vyenye vision na misimamo kama ya Dr. Slaa wa Chadema, Sisiem sasa hivi wasingelala usingizi wa pono na kula likizo za kisiasa kama ilivyo sasa.
Chadema hii hii ikibadilisha safu ya uongozi, kinaweza kuitikisa sana Sisiem na kuchukua uongozi wa nchi kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Lakini zikibakia sura zile zile za viongozi waandamizi, waalah piga ua hata wadurufu katiba mpya na kuboresha tume huru ya uchaguzi ili uchaguzi uwe huru na wa haki, lakini Chadema haitashinda aslani.
Tatizo la umamluki ni pana kuliko unavyodhania na usilichukulie rahisi rahisi mkuu.Nom sense kama makamu mwenyekiti alirubuniwa na kwenda ccm unaisi chadema ni wajinga wake tena kuamini watu kizembe zembe vyama vingi vimepotea sababu iyoo slaa alikuwa CCM damu ni ngumu kumpa uenyekiti naye ni wale wale Tu mwenyekiti ajaye saivi ni lissu baada ya mbowe chadema si wajinga wajinga kama vyama vingine