Tuisadie CHADEMA -2025

Nipo more than serious, makamandas let's learn from the past..
Wanachofanya ni sawa na kutoa hela kutoka mfuko wa kushoto na kuweka wa kulia wa suruali hiyo hiyo. Wapinzani watanzania kwanza Wanafiki, Waoga, hawa jiamini na wananjaa na ndio maana wote wana nunulika.Nilicho jifunza 2015 Tanzania hamna upinzani.
 
Kwa kweli hamna mpinzani, inasikitisha sana, Kuna tatizo la kutofanya mambo kwa uwazi/transparent , hili nalo walifanyie kazi kama wanataka kuendelea kusavaivu, mpaka hapo tutakapojua kwa nini wanashiriki uchaguzi Ilihali CCM ina washindi wake kwa kila chaguzi? Until then wimbo wa katiba mpya uendelee lol
 
Rebeca 83 lini umekuwa CHADEMA na kukipenda kukipenda hiki chama? Ni kweli una mapenzi ya dhati? Yameanza lini?[emoji23]
Mkuu mimi mara chache naingia jukwaa la siasa, sasa umejuaje mimi sio mpenzi wa CHADEMA?
 
Yaani huko hakuna kitu ila kama unataka ubunge,mama atawaachia kidogo mpate wabunge wa kukosoa Serikali na kupunguza mivutano ccm.
 
Yaani huko hakuna kitu ila kama unataka ubunge,mama atawaachia kidogo mpate wabunge wa kukosoa Serikali na kupunguza mivutano ccm.
Mimi nataka ubunge lol, ila sio kwa sababu nataka ugali ,nataka truly kuitumikia Tanzania, mkuu unafanyaje kuupata? Lol
 

Hizi mbinu unaleta ccm wenyewe wametumia na zimefeli kitambo
 
Mrema, Cheyo, Rungwe, Mbatia na wengine ni sawa? Tatizo ni kwa CHADEMA hapa, siyo? CCM mwaka huu mna mapenzi sana na CHADEMA.

Hawa wanatumwa kuleta viguvungu ili chadema ipasuke, washaleta mpaka mmluki wagombee uwenyekiti chadema. Mbinu za kishamba hizi.
 

Wewe ni chadema?
 
Yaani muda huu ndio ulikuwa mzuri kwa CDM kujipanga na kuchukua nchi 2025 maana maccm yashapoteana.

Bahati mbaya hao CDM watakupopoa hapa na kutofuata huo ushauri wako.

Ccm wamepotea kitambo ndio maana wanazima mitandao siku ya uchaguzi
 
Na kuniona mbaya wao..
Wakati nilichofanya ni kuwapa strategies tu...
Sasa mtu mbaya wako anakupa strategies ufaulu au atakutafutia sababu ufeli zaid..lol

Wewe tafuta chama kingine cha kukishauri. Hatuwezi tumia akili zako zimejaa kamasi
 

Kwa akili zako chadema hawajawahi kushinda kwa idadi ya Kura?
 

[emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…