Kwa hiyo magerezani wamejaa wachaga?kwa hiyo hosptal zote zimejaa mazezeta?Kwa nini na wewe usitumie hiyo mbinu!!?Hebu tuache kuwa na akili za samaki wanaofugwa kwenye chupa!!
Mando wa nuka wa nuka tupu wai cha msuura.
Unadalili ya homa ya dengue wewe,nenda kapime kabla mambo hayajaharibika.Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Hakuna ubishi kuwa kuna mambo yanayofanywa na wachagga ambayo yanapaswa kuigwa na vivyo hivyo kuna mambo ambayo hayapaswi kuigwa. Ya kuigwa ni kama;
Hii inaweza kuwa imesababishwa na 'kupendelewa' na wakoloni huko mwanzo-mfumo kristo??
- Kurithisha watoto Elimu bora popote inapopatikana,
- Kutafuta fedha na usitawi,
- Kujenga nyumba vijijini watokako,
- Kukumbuka vijijini mara moja kwa mwaka,
- Kushirikiana katika ujasiriamali wa biashara,
- Kudumisha mila kwa kuoa mke/wake wa kichagga au wenye mchanganyiko(root) wa kichagga n.k.
Yasiyofaa kuigwa na yanayofanywa na baadhi yao:
- Kufadhili/kufanya uharamia/ujambazi
- Kufanya ufisadi nafasi inapotokea,
- Kusafisha hela haramu,
- Kuzima/kupiga wengine pale fursa inapotokeza,
- Kuuwa/kusababisha mauaji pale inapobidi,
- Ubaguzi?? wa wasio Wachagga??- (I stand to be corrected..)
Hahaha...unajua wachaga tupo wengi na tumegawanyika kutokana na sehemu tunazotokea..marangu..usomi saana,ubishoo na usistaduu,kazi ni kama kawa sema maringo hata mnyambo wa karagwe hafikii hapa,machame...wasomi pia..wapambanaji...ubabe saana na wanawake wakorofi korofi..biashara na wizi kiasi..kibosho...biashara..ukorofi haswa wanaume na wizi...wapambanaji sana...rombo...biashara...wapambanaji kuliko wachaga wengi..wizi....na ushirikina..kuna kituo kabisa kinaitwa KCMC...sio hospitali..ni kwa African chemist!...wa siha...wastaarabu sana,wapambanaji na hawana makuuu...wa uru..washamba..chapa kazi..wasomi..wizi...mchanganiko wa tabia hizi hubeba jina la wachaga kwa ujumla...sisi tunajuana wenyewe kwa wenyewe na ni ngumu ku generalise koz hata civililisation ya uchagani ilianzia sehemu flan na ikaishia sehem flani....kwa mfano uchagani kote nilikopita..mganga wa kienyeji nilimuona rombo tu...sijajua uru na siha vp..lakin marangu,machame,kibosho sijaona kabiisa..
Pale Moshi mjini kulikua na duka mwenye duka aliwapa masharti wauzaji wake kwamba isizidi saa tatu usiku duka liwe limefungwa,na ni marufuku kufungua hata kukiwa na mteja wa bilion wasifungue.
Sasa siku moja vijana walifunga duka wakasahau ufunguo wa nyumbani dukani ikawabidi warudi kufungua na ilishafika kama saa tatu na Nusu usiku.
Walipofungua tu walichokishuhudia dukani ni balaa.
Walimkuta mama wa yule tajiri wao ambae alikufa kama miaka 7 nyuma yupo zezeta dukani.
Kilichotokea baada ya hapo jamaa alifilisika mpaka chupi.
WACHAGA? Nyie waoneni hivyo hivyo tu.
Umesahau..generally ni wazinzi wezi na walevi kipita maelezo
Na wasipopiga mtungi, mishahara yao itatoka wapi?
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Mim sio mchaga ila nimeoa uchagani.Acha ukweli usemwe,WACHAGA kama walivyo binadamu wanakasoro zao.Kwa uzoefu wangu wa kusoma na kufanya kazi na wachaga kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao badala ya kuangalia kasoro. Wachaga ni washirika(marafiki wazuri) na tushukuru mungu mtandao wao ungekuwa ni wa kihaya Nchi hii ingekuwa ni sehemu mbaya kuishi.
Wanaaowasema wachaga vibaya
wana wivu. Mimi ni shemeji kwa pande moja ya wachaga. Kimandeleo
sijutii. Mnawaita wezi, niwaulize wale majambazi wa mabenki wachaga wako
wangapi? Fanyeni kazi acheni wivu. Wewe goi goi unaoa kabila goigoi
unategemea miujiza? Mke wangu wakati tuna watoto wadogo alikuwa anaamka
saa 9 kuhakikisha watoto wanapata b/fast njema na kulisha mifugo aina
tatu kabla haachia wafanyakazi hasa kuangalia kama kuna tatizo na
anawahi ofisini. Mwishowe nami nikafuata nyayo. Leo hii mifugo tulitupa
mbali tuko kwingine kabisa. Eti wachaga wezi!!! Asanteni wazee wangu
Elibariki na Ndeonasia kwa kunizalia maendeleo, mke na mama. Wachaga
hoyeeee
Uzuri wa kabila letu tunajua kutafuta hela hata tukiwa wadogo hatutegemei elimu ya darasani japo nayo tumejaliwa.
BIG UP CHAGGAS!
habari yako manka,..