Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,977
- 32,385
Chama cha Magwanda bwana kinachekesha sana, Uchaguzi wote Baraza la vijana wahuni wa Chadema. (BAWACHA) ni batili, wajumbe waliopiga kura wote wamepokea rushwa na wamechagua viongozi wa BAWACHA, cha kushangaza mtu ambae kaonekana na makosa ya rushwa ni Habibu Mchange, Wachaga bwana, ni sawa sawa unasema nguruwe halamu lakini unakunywa supu yake