Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

Chama cha Magwanda bwana kinachekesha sana, Uchaguzi wote Baraza la vijana wahuni wa Chadema. (BAWACHA) ni batili, wajumbe waliopiga kura wote wamepokea rushwa na wamechagua viongozi wa BAWACHA, cha kushangaza mtu ambae kaonekana na makosa ya rushwa ni Habibu Mchange, Wachaga bwana, ni sawa sawa unasema nguruwe halamu lakini unakunywa supu yake
 
Network Name :TIGO
nimeamua niuweke hadharani ushahidi huu ilikukata mzizi wa fitina kuwa fulani kaonewa kwasababu ni kambi ya fulani, naanza na HABIBU MCHANGE nitakuja na video za kuonyesha wale wengine waliyoenguliwa ukumbini, jinsi walivyokuwa wanaendesha vikao vyao vya kujitoa.

kwenye hotel ya bondeni magomeni na vikisimamiwa na SHIBUDA ila kwa hili mpaka kamati kuu ikae , ikitoka na maamuzi mazuri au mabaya nitafanya kama nilivyo agiza, hii ndiyo chadema kitengo cha uchunguzi.....

ushahidi ni kama ifuatavyo na huu ni ushahidi wa tigo nitawaletea wa m-pesa hivi karibuni.

[CENSORED]

"where we dare to talk openly", this is what it means...
 
Ndugu yangu Shy,

Tunafahamu kuwa ni kosa lakini the end justify the means, Ni hatari kwa vijana wadogo kama Habibu Mchange kuwa na evil mind na kutaka kutumia shortcut, hapo inabidi tuwe wakali sana na vijana wetu, kwani RACHEL walianza vipi? na leo ndo wanasumbua nchi kila kukicha, Mchange hana sifa ya kuwa CHADEMA bora aende CCM ndo wangeweza kumsitili na aibu hii kama walivyo msitili Mwakalebela!

GO ahead CDM, inatakiwa tufike mahala watu wajue kuji-evaluate wenyewe,kama ni wala rushwa wajitoe kwenye uongozi wa jamii au siasa kwani personal info zao pr whatever wrong will be exposed at any cost kama watakiuka taratibu! Kama ni wafanyabiashara basi waende huko maana zipo namna nyingi za kujitafutia riziki. Siasa imeingiliwa sana hapa tanzania,kila mtu anataka awe kiongozi....kweli???
 
You guys have to be fast and sharp; There are no guarantees here that whatever report you see at any given moment will be here the next morning. If you see some reports of such sensitive and personal nature posted be fast to grab it while it is still hot. Some are left just for a little while before they are removed for obivous reasons. Admn.
 
Mmhh wee Silencer, mbona leo unaonekana sana humu. Kulikoni?
 
............ Na wapiga debe wa Chadema original wanaotetea uhuni huu wakumbuke kuna msemo unaosema, Usivunje misingi kwani mwishowe misingi itakuvunja wewe. Very soon itakula kwenu.....

Omari,

Seriously, njooni tujue. wewe na Zitto umlisema sana wakati wa uchaguzi. mpaka sasa kimya. we need to know. sisi tunaangalia tunashabikia pale tunapoona pana umweli.

Njooni tafadhali tujue Tanzania sio yetu tena. Haya yakutishana hayana maana. Rushwa ni rushwa tu, hilo la usiri tuwaachie na kimsing Habib namkubali but imetiwa shaka. I was supporting him but dah.
 
The culture of corruption and violence had brought untoldmisery to millions of Tanzanians who had suffered the cost of dysfunctional governance.Let us show the way,tupeleke haya maswala kwenye ant-graft Bureau. Tujitahidi tu.

Kama walishindwa chaguzi za ndani CCM huku wataweza? hata ukiwalipa they will never.
 
kuna watu ukweli ukizungumzwa na wakaona unamgusa rafiki/jamaa yake hujifanya kumlinda,jamani hii si sawa. Hapa ndipo inapokuja dhana ya wale wasemao kuwa hata kama Katiba ikibadilishwa Vipi kama watu wenyewe hawaja change still itakuwa ngum ufanisi wake. kwani mfano Slaa akikaa ikulu ikatoka shutuma inayomgusa Mbowe hatoweza kumtosa,lazima atamlinda. sasa hapa ndicho kinachoendelea wote ushahidi tumeuona badala ya kukili kuwa its a mistake wengine wanamuona kama sio mkosa. Je Tutafika?
 
Kabla Mchange hajawashtaki Tigo ajiulize je habari hizi ni za kweli? kama ni za kweli je kutoa hizo pesa kwa wajumbe wa mkutano si rushwa? akishajibu maswali haya ndipo aende kuwashitaki Tigo ila ajiandae kukutana na Takukuru it is a two cutting edges sword ni hiari yake kuchagua upande upi wa makali ni nafuu kuushika.

Hao wajumbe waliopokea hizo pesa wao nao hawana makosa? Kama ni kuadhibiwa wote hao ni wakosaji
 
Sitetei maswala ya rushwa,lakini Silencer naona anatumia busara sana.Mods fanyeni kazi msichoke,hapa Jf ndiyo uwanja wa kuchambua mambo bila ushabiki .Tusikubali kushikwa mateka kama baadhi ya vyombo vya habari

Pia hao watu wanaojifanya wao ni watu wa data,si waje na majina yao really?Waache kuutumia uhuru wa JF vibaya

wewe toa unafiki wako hapa, alichofanya never ni sahihi kabisa, ila hawa jamaa zenu wameban kwasababu zao binafsi, nausubiri tuhuma zako zitakavyo wekwa hadharani pindi arudipo never uje ujitetee.

unafikiri chadema wao hawaoni wakuchague kuwa m/kiti wao wataifa wa vijana? ni siku nyingi sana tumekuwa tukikupima na mwishowe tumekugundua kuwa wewe ni wale wale magamba, acha porojo jibu maswali na si vinginevyo.
 
Ushahidi umeshachakachuliwa bana, hawa mods wetu nao dah kaz kwel kwel!

tupo wengi tuliukopy na kuuweka kwenye cmpy zetu ushahidi huu hapa, nana mimi sijui wata ban, ila pouwa ila siku moja wataheshimua maamuzi yetu ya kuongea ukweli, never kama unasoma comment naendeleza jaramba...

Network Name : TIGO Report Code : Report-04
Application Name : M-money Date 26/05/2011
Account No: 0658178678 From : 01/04/2011 To : 26/05/2011
S.No Transaction ID Sender First Name Sender Last Name Sender A/C No. Sender MSISDN Performed On Transferred value(TSH) Transaction Status Recipient's Account Number Service Type New TMA balance(TSH) Service Charge(TSH) Receiver Msisdn
1 CI110510.1226.C02558 REVOCATUS KALENDELO 0714466089 0714466089 10/05/2011 12:26:15 30,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
2 CI110511.1101.C09152 FRANCISCA MPINGE 0713866854 0713866854 11/05/2011 11:01:37 16,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
3 CI110516.1010.D06619 COSMAS OTTARU 0714471842 0714471842 16/05/2011 10:10:36 16,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
4 CI110520.1138.C02215 hajira fadhil 0659374529 0659374529 20/05/2011 11:38:44 20,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
5 CI110521.1151.C00270 EDWARD SHULIL 0713865655 0713865655 21/05/2011 11:51:23 102,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
6 CI110521.1237.D00931 LEONARD NKYA 0713867745 0713867745 21/05/2011 12:37:12 70,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
7 CI110521.1340.D01820 LEONARD NKYA 0713867745 0713867745 21/05/2011 13:40:35 10,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
8 CI110522.1646.C02532 Kariakoo RA3 0713864891 0713864891 22/05/2011 16:46:23 30,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
9 CI110522.1703.D02335 Kariakoo RA3 0713864891 0713864891 22/05/2011 17:03:04 22,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
10 CI110523.1410.C00169 Mlimani RA 3 0713864831 0713864831 23/05/2011 14:10:14 65,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
11 CI110523.1754.D02049 Mlimani RA 3 0713864831 0713864831 23/05/2011 17:54:27 52,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
12 CO110511.1044.C03344 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 11/05/2011 10:44:58 28,500.00 Transaction Success 0659374206 Cash Out 0.00 1,000.00
13 CO110511.1104.C03455 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 11/05/2011 11:04:24 15,500.00 Transaction Success 0659374206 Cash Out 0.00 800.00
14 CO110520.1403.C01861 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 20/05/2011 14:03:04 19,000.00 Transaction Success 0713866650 Cash Out 0.00 800.00
15 CO110523.1056.D02674 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 23/05/2011 10:56:06 50,000.00 Transaction Success 0713867745 Cash Out 0.00 1,400.00
16 PP110516.1012.D04268 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 16/05/2011 10:12:51 15,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,000.00 0719567973
17 PP110521.1154.D00047 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 11:54:47 40,000.00 Transaction Success 0717268576 P2P transfer 0.00 200.00
18 PP110521.1159.D00066 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 11:59:58 12,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,000.00 0719567973
19 PP110521.1241.D00237 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 12:41:48 81,000.00 Transaction Success 0714038536 P2P transfer 0.00 200.00
20 PP110521.1243.C00273 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 12:43:57 26,000.00 Transaction Success 0712511508 P2P transfer 0.00 200.00
21 PP110521.1345.C00495 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 13:45:07 16,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,000.00 0718201032
22 PP110524.2144.C00018 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 21:44:15 20,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,200.00 0655867369
23 PP110524.2224.C00047 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 22:24:31 10,000.00 Transaction Success 0713606169 P2P transfer 0.00 200.00
24 PP110525.1159.D00673 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 25/05/2011 11:59:54 52,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,600.00 0786215181
25 PP110525.1535.C01395 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 25/05/2011 15:35:33 20,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,200.00 0765944963
26 RC110521.0925.D01960 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 09:25:12 250.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
27 RC110521.1245.D01398 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 12:45:06 2,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
28 RC110521.1937.C09848 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 19:37:36 1,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
29 RC110524.0805.D07210 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 08:05:00 2,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
30 RC110524.2157.D00992 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 21:57:18 1,500.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
31 RC110526.0655.C01980 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 26/05/2011 06:55:44 5,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
 
Red One nashukuru nami nimejiwekea Kahazina kangu!
 
Wakuu zangu,
Naona mjadala umekuwa mzito sana. Na hakika lazima tupime vitu kwa kufuata sheria na taratibu zinazotakiwa..Kweli kabisa JF ni uwanja ambalo ukweli utazungumzwa wazi daima...

Uchakachuaji wa mada haufai ila kwa mwenye kuuweka na ziwepo sababu za msingi kwani kama ni habari ku leak tayari ilikwisha leak na nadhani aliyehusika ni kiongozi wa chama. Sasa kama kuna makosa yamefanyika ktk kulinda haki ya mtu binafsi ifahamike tu kwamba kufuta ama kuchakachua mada hakuwezi kuondoa makosa ya mwanzo...

Aidha mwandishi wa mada amefanya makusudi ama kwa niaba ya, inatakiwa mhusika mwenyewe awajibishwe na sii JF kwani kwa kufanya hivyo kunaiweka JF responsible na mabandiko mengine yote hapa JF, nikiwa na maana kwamba kiutendaji kazi kumbe JF wanaweza kuondoa ama kuchambua mada zinazotakiwa kuandikwa.

Ni kweli kabisa kutoa siri za simu za mtu nje ya vyombo vya kisheria ni makosa hata kama ni report inayohusu maamuzi ya kumuengua mgombea. Na ilitakiwa Chadema wenyewe wazitoe habari hizi zipate nguvu ya usahihi kuliko kutolewa na mtu ambaye anatumia jina bandia...Lakini pamoja na yote hayo ndivyo JF imekuwa ikifanya kazi zake miaka yote hadi kupata umaarufu huu.

Na labda niongezee tu kwamba jana tu niliandika mada inayohusu Barrick huko Tarime kuonyesha jinsi watu wanavyokituhumu chama Chadema kwa machafuko ya Tarime wakati ukweli unajionyesha wazi jinsi Barrick wanavyohusika lakini imehamishwa na sielewi imepelekwa wapi. Nachowaomba wahariri wa makala hizi za wikileaks yetu ya Bongo watufahamishe (tuloaziweka) mara tu wanapofuta mada au kuihamisha.

Kwa kuongezea tu nilipenda sana mtu anifahamishe hizi transaction zinazosema Kariakoo au Mlimani na RA3 kuanzia namba nane ni nanihuyo?..
8 CI110522.1646.C02532 Kariakoo RA3 0713864891 0713864891 22/05/2011 16:46:23 30,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
9 CI110522.1703.D02335 Kariakoo RA3 0713864891 0713864891 22/05/2011 17:03:04 22,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
10 CI110523.1410.C00169 Mlimani RA 3 0713864831 0713864831 23/05/2011 14:10:14 65,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
11 CI110523.1754.D02049 Mlimani RA 3 0713864831 0713864831 23/05/2011 17:54:27 52,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
 
tupo wengi tuliukopy na kuuweka kwenye cmpy zetu ushahidi huu hapa, nana mimi sijui wata ban, ila pouwa ila siku moja wataheshimua maamuzi yetu ya kuongea ukweli, never kama unasoma comment naendeleza jaramba...

Network Name : TIGO Report Code : Report-04
Application Name : M-money Date 26/05/2011
Account No: 0658178678 From : 01/04/2011 To : 26/05/2011
S.No Transaction ID Sender First Name Sender Last Name Sender A/C No. Sender MSISDN Performed On Transferred value(TSH) Transaction Status Recipient's Account Number Service Type New TMA balance(TSH) Service Charge(TSH) Receiver Msisdn
1 CI110510.1226.C02558 REVOCATUS KALENDELO 0714466089 0714466089 10/05/2011 12:26:15 30,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
2 CI110511.1101.C09152 FRANCISCA MPINGE 0713866854 0713866854 11/05/2011 11:01:37 16,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
3 CI110516.1010.D06619 COSMAS OTTARU 0714471842 0714471842 16/05/2011 10:10:36 16,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
4 CI110520.1138.C02215 hajira fadhil 0659374529 0659374529 20/05/2011 11:38:44 20,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
5 CI110521.1151.C00270 EDWARD SHULIL 0713865655 0713865655 21/05/2011 11:51:23 102,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
6 CI110521.1237.D00931 LEONARD NKYA 0713867745 0713867745 21/05/2011 12:37:12 70,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
7 CI110521.1340.D01820 LEONARD NKYA 0713867745 0713867745 21/05/2011 13:40:35 10,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
8 CI110522.1646.C02532 Kariakoo RA3 0713864891 0713864891 22/05/2011 16:46:23 30,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
9 CI110522.1703.D02335 Kariakoo RA3 0713864891 0713864891 22/05/2011 17:03:04 22,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
10 CI110523.1410.C00169 Mlimani RA 3 0713864831 0713864831 23/05/2011 14:10:14 65,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
11 CI110523.1754.D02049 Mlimani RA 3 0713864831 0713864831 23/05/2011 17:54:27 52,000.00 Transaction Success 0658178678 Cash in 0.00 0.00
12 CO110511.1044.C03344 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 11/05/2011 10:44:58 28,500.00 Transaction Success 0659374206 Cash Out 0.00 1,000.00
13 CO110511.1104.C03455 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 11/05/2011 11:04:24 15,500.00 Transaction Success 0659374206 Cash Out 0.00 800.00
14 CO110520.1403.C01861 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 20/05/2011 14:03:04 19,000.00 Transaction Success 0713866650 Cash Out 0.00 800.00
15 CO110523.1056.D02674 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 23/05/2011 10:56:06 50,000.00 Transaction Success 0713867745 Cash Out 0.00 1,400.00
16 PP110516.1012.D04268 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 16/05/2011 10:12:51 15,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,000.00 0719567973
17 PP110521.1154.D00047 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 11:54:47 40,000.00 Transaction Success 0717268576 P2P transfer 0.00 200.00
18 PP110521.1159.D00066 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 11:59:58 12,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,000.00 0719567973
19 PP110521.1241.D00237 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 12:41:48 81,000.00 Transaction Success 0714038536 P2P transfer 0.00 200.00
20 PP110521.1243.C00273 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 12:43:57 26,000.00 Transaction Success 0712511508 P2P transfer 0.00 200.00
21 PP110521.1345.C00495 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 13:45:07 16,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,000.00 0718201032
22 PP110524.2144.C00018 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 21:44:15 20,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,200.00 0655867369
23 PP110524.2224.C00047 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 22:24:31 10,000.00 Transaction Success 0713606169 P2P transfer 0.00 200.00
24 PP110525.1159.D00673 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 25/05/2011 11:59:54 52,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,600.00 0786215181
25 PP110525.1535.C01395 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 25/05/2011 15:35:33 20,000.00 Transaction Success IND02 P2P transfer 0.00 1,200.00 0765944963
26 RC110521.0925.D01960 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 09:25:12 250.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
27 RC110521.1245.D01398 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 12:45:06 2,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
28 RC110521.1937.C09848 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 21/05/2011 19:37:36 1,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
29 RC110524.0805.D07210 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 08:05:00 2,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
30 RC110524.2157.D00992 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 24/05/2011 21:57:18 1,500.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00
31 RC110526.0655.C01980 MCHANGE HABIBU 0658178678 0658178678 26/05/2011 06:55:44 5,000.00 Transaction Success 0710000000 Recharge 0.00 0.00

mwenye kusema sasa asema tena, hapa hamna cha chama kingepaswa kiitoe ilikuwe na nguvu au nini, habari ni habari, mbona hamsemi jk angeseme wamejivua magamba na atawaandikia richel barua za kujiuzulu? ili habari iwe na nguvu? na si nape mpiga vuvuzela? mtakomaa mnaopokea rushwa na kujifanya eti mnataka siri za wateja zilindwe, hapa hakifichwi kitu kama umekula jua nawe ipo siku utaliwa habari ndiyo hiyo.....
 
Kuanzia namba 1 hadi 11 inaonyesha Habib Mchange alipokea fedha kutoka kwa watu hao halafu chini toka 12 ni fedha alizotuma.. Je, hapa hizi rushwa zinahesabika vipi maanake naona watu wote hapa walioorodheshwa ni watoaji na wapokea rushwa kama huu ndio ushahidi kweli!

Mkuu Ben nakuaminia, silikoni jina lako hivyo!
 
Back
Top Bottom