Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

JF is not a safe place at all.....login for your own risk...hawa MODS ni agent wa serikali....mara ngapi Invisible ameweka doc za siri ? Leo imekuwa kosa kwa Never....its disgusting na hawa MOD.....wanapenda habari za Umbeya....agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Mie nina firewall-risk, japo wamechakachua maandishi yangu. sioni sababu kabisa ya kuondoa hiyo kitu.
 
JF is not a safe place at all.....login for your own risk...hawa MODS ni agent wa serikali....mara ngapi Invisible ameweka doc za siri ? Leo imekuwa kosa kwa Never....its disgusting na hawa MOD.....wanapenda habari za Umbeya....agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

hujaelewa maamuzi yao? Kama unalipwa na wananchi, ni haki kwa wananchi kukujadili na kuweka documents husika wazi. Lakini kama ni mtu binafsi (the case here) ni uvunjaji wa privacy law kuweka documents zako hapa! Its that simple!
 
Pole sana, JF sasa haina usalama hata kidogo

Mkuki kwa Nguruwe. Kila siku humu Jf tunaona nyaraka mbali mbali za siri na watu hufurahia kuzidownload na kuzisoma na kuchangia kwa bashasha sana, sasa leo imetoka report ya mtuhumiwa na ushahidi umemwagwa live eti watu wengine wanaonesha kumlinda. Ivi huo usalama kumbe mnautaka kwa wana CDM waharifu? hapa dhana ya dhati ya upambanaji itakuwa hakuna
 
Usalama wetu JF ni mdogo sana

Una ona hawa jamaa sijui wameamrishwa na nani wafanye hiki

4rvwO+tgj9kAAAAASUVORK5CYII=



never
user-offline.png

Banned



Never popote ulipo nitakuazima ID nyingine maana ninazo nyingi!!

Walichofanya hawa jamaa sikitendo cha ustaarabu ku, ban neveran mod acheni uwoga, hatuombi tunataka never arudishwe
 
Mkuki kwa Nguruwe. Kila siku humu Jf tunaona nyaraka mbali mbali za siri na watu hufurahia kuzidownload na kuzisoma na kuchangia kwa bashasha sana, sasa leo imetoka report ya mtuhumiwa na ushahidi umemwagwa live eti watu wengine wanaonesha kumlinda. Ivi huo usalama kumbe mnautaka kwa wana CDM waharifu? hapa dhana ya dhati ya upambanaji itakuwa hakuna

I hate the so called MOD....hasa aliyemfungia Never¬
 
Mimi nilidhani uhuni huu upo Vodacom tu kumbe hata Tigo upo?

Mambo kama haya ndiyo yanahalalisha waajiri hasa serikalini kuwa wabaguzi katika kuajiri watu wenye hisia kali za kisiasa hasa wale wa upinzani. Tusishangae kuanza kuona vijana wenye mitazamo ya kisiasa wanaanza kukumbwa na rabsha katika ajira zao hata katika sekta binafsi.

Naunga mkono hoja ya Habib Mchange kuwafikisha mahakamani Tigo.

Na wapiga debe wa Chadema original wanaotetea uhuni huu wakumbuke kuna msemo unaosema, Usivunje misingi kwani mwishowe misingi itakuvunja wewe. Very soon itakula kwenu.....

Habib Mchange awashtaki tiGO kwa lipi? Kwamba taarifa zake ziko nje? Kwa kufanya hivyo anathibitisha kuwa alituma hizo fedha kwa watu hao na hivyo atakuwa anathibisha tuhuma za rushwa dhidi yake. Ningemshauri Mchange, na wengine humu, kuwa taarifa za namna hii zinapotoka ni vizuri kushughulika na ukweli/uongo zaidi ya haki ya mteja. Nimesoma mahali pengine kuwa katika kesi hii upo pia ushahidi wa watu waliotumiwa fedha. Sasa kama ni hivyo, CDM wakishtakiwa, watakuja tu na ushahidi wa hao watu halafu wataomba mahakama iamuru tiGO waje na vielelezo kuthibitisha. Vielelezo hivyo vyaweza kuwa hivi tunavyovyiona humu na vitaletwa mahakamani kihalali tu.

Kwa hiyo kwa Mchange nadhani suala ni je alituma fedha kwa watu hao ama la, na sio taarifa hizi zimetolewaje.
 
yaani never kafungiwa...!? Kwa kosa lipi au mmezibitisha kuwa aliyoyasema siyo kweli..tunahitaji maelezo
 
Chadema haikumbatii watoa rushwa ndiyo maana ikamuengua habibu mchange! Tunge nyamaza mngesema hawa ni wale wale tumesema mnasema tunataka sifa, sasa mnataka tufanyeje

Kwa hiyo wewe ni Chadema na kwa kuwa umetoa huu mnaoita ushahidi wa kuhalalisha uhuni Wa kuwaengua wapinzani wote wa kweli wa chaguo lenu wenye chama then wewe ni kiongozi ktk Chadema na mitazamo yako hapa inapaswa kuchukuliwa kama mitazamo ya Chadema. Safi sana.
 
Wacha nijihifadhie kaushahidi haka. U never know huko tuendako.



wala tigo hawajui kama kimenuka huku..........siku hizi ni rahishi sana...bsiku hizi technolojia imerahisisa sana mambo....juzi niliomba namba ya nape hapa nikapewa..kwa kutumia namba ile naweza kusikiliza calls zote, read meseji,(na ninazo mpka sasa) na kutrack mahali alipo...na kwa kutumia akaunti yake ya facebook nimefanikiwa kuingia hadi kwenye email zake...na kujua mambo mengi..na baadhi niliweka hapa na baadae kuondolewa na mods..

so siku hizi chochote waweza fanya.......kuna wengine nimeona kule kweye jukwaa la technolojia wanaomba kuchakachuliwa modem zao halafu wanaweka IMEI na model number ya simu...bila kujua kuwa IMEI ndo simu yenyewe...naweza kuilock simu yako popote paleau kuifanya chichote kile........

so never kafanya kweli.....
 
never kapigwa ban?!hahahaha
alikuja na fujo kweli hapa! watu tumejaribu kumuelimisha lakini sifuri!
 
Acha unafiki zitto, tunaomba na wewe uangalie kwenye simu yako tarehe 3 mwezi may 2011, hii kumbukumbu namba ya MPESA uliyomtumia mmoja wa wagombea aliyeenguliwa ilikuwa ni ya nini??? Kumb namba ni hii hapa - B66FE724.

Ukiendelea nitaweka mpaka kiasi cha pesa ulichotuma. Najua ulikuwa humuungi mkono heche tangu uchaguzi wa mwaka 2009 ulioharibika. Tafadhali sana iache BAVICHA hii ya kwanza ya kitaifa ifanye kazi.

Safiii sanaaa kwanini usiweke mambo wazi kumuumbua mnafki? unajua huyu zto hana nia njema na CDM amejaa unafki sana kwanini asitupishe kwenye chama?? kauli yake hiyo inataka kuendeleza malumbano na makundi.
Alafu kwa kipindi hichi inatakiwa CDM kuwa mfano mzuri ili mtu asijute kuwa mwana CDM, sasa watu kama zto wanaturudisha kule kule kwenye chama cha magamba na chenye unafki na makundi.
Zito badilika usiwe kikwazo ndani ya chama makini CDM.
 
yaani never kafungiwa...!? Kwa kosa lipi au mmezibitisha kuwa aliyoyasema siyo kweli..tunahitaji maelezo
Kwa hili mods watoe maelezo.alichofanya never si kipya humu.binafsi imenistua sana! What is going on?
 
Nina mashaka na ule msemo wa "we dare to speak openly" mara nyingi tumeona confidential documents toka kwa Invisibo, sasa huyu never kuja na hiki tu mmempa ban, Mods hii sio poa hata kidogo....watu wanaoleta uzushi na tetesi zisizo na kichwa wala miguu wanaachiwa ila huyu mmempa ban lol!
 
Kamanda nilichoweka hapo ni ushahidi juu ya kotoa rushwa kwa mchange, so hakuna mahali nilisema zitto ila nilisema nitakuja na ushahidi mwingine wa Mpesa na wa video ambao ulikuwa unafanyikia bondeni bar, na alikuwa kiongozi wa mipango ni shibda so subiri uone vitu mkuu
Jamani naomba mnisamehe mbona ushahidi wenyewe mm siuoni, naomba mnisaidie niuone nimevurugikiwa na hizi post
 
uongozi wa JF, kwanini never mmemfugia..hebu tupeni maelezo ilinasisi tusijetukala ban kwa kosa kama la never maana ninampago wa kupesi aliyokuwa ameyaleta never...
 
Usalama wetu JF ni mdogo sana

Una ona hawa jamaa sijui wameamrishwa na nani wafanye hiki

4rvwO+tgj9kAAAAASUVORK5CYII=



never
user-offline.png

Banned



Never popote ulipo nitakuazima ID nyingine maana ninazo nyingi!!

Mpe ile ID yako ya saigon uliyokuwa unaitumia wakati umepigwa BAN, siku nyingi ujaitumia
 
Big up zito, unamawazo mapana japokuwa wana cdm wenye fikra finyuwanakupna u msaliti.
 
Sitetei maswala ya rushwa,lakini Silencer naona anatumia busara sana.Mods fanyeni kazi msichoke,hapa Jf ndiyo uwanja wa kuchambua mambo bila ushabiki .Tusikubali kushikwa mateka kama baadhi ya vyombo vya habari

Pia hao watu wanaojifanya wao ni watu wa data,si waje na majina yao really?Waache kuutumia uhuru wa JF vibaya
 
Back
Top Bottom