Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

Hapa sjaona mantiki kuhoji wabunge! Wao wangemfungulia tu Mbowe mashitaka wanayozani kuwa anayo na si kuhaada umma kuwa wamehoji watu ndipo wakafungua kesi! Haiwezekani ukaamua kumtafutia kesi mwanaume kwa kumuhoji mwanamke aliyegombana nae na kupeana talaka, ukasema utamtendea haki mtuhumiwa! Wanaposema watahoji wabunge wote waliowahi kuwa wabunge wa CDM, hapa sipati picha kama kweli wana nia njema au nia kuhakikisha Mbowe hachomoki! Kama ufisadi CCM ni nambari wani! Ndio maana wapo watu ndani ya CCM hawakubaliani na mwenendo chama kama vile utaratibu wa kumzawadia cheo au jimbo mbunge alitoka upinzani, lakini wanashindwa kutoka ndani ya hicho chama cozi wakitoka tu visasi ni kuwashughulikia kwa madhambi ya ufisadi waliyonayo! Hata ile kamati ya Dk Bashiru ilibaini ufisadi mkubwa wa mali za CCM kalibu nchi nzima lakini hatua hazijawahichuliwa na hatujawahi kuwaona TAKUKURU wakiita watu kuhojiwa! Kama kweli suala hili si la kisiasa basi vyama vyote vimulikwe!
 
Safi Sana . wabunge lazima watatema nyongo

Nyongo ipi wao wanajua walikatwa fedha za mchango kama katiba invyosema lakini hawajui matumizi ya fedha hizo anaejua ni muhasibu ndio anatakiwa kukaguliwa
 
hiyo ya M10 niliisikiaga Bungen
 
Safi Sana . wabunge lazima watatema nyongo
Takukuru wanadili na rushwa na fedha za uma Sasa fedha za chadema ni zao hivyo kesi iende mahakamani Tena ifunguliwe na wanachadema sio waliohama nahisi harufu mbaya hapa vyama vingine hakuna ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…