TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

Status
Not open for further replies.
Wewe Ben na umeenda nje ya mada kabisa........? Yani watu tunajadili jinsi ya kuokoa viongozi wetu wapendwa wa CDM alafu ww unaenda out of key, are u serious? Au na ww unafurahishwa na Viongozi wako kutishiwa vifo? Enewei unajifanya eti unaijua sana JF pia unadis kuwa imepoteza quality, najua unasema hiv kwa sababu JF ndio iliokuumbua na mbinu zako chafu za uhaini ndani ya CDM na kundi lako pamoja na yule mbunge kijana, Pia JF ndio iliofichua unafiki wako ndani ya CDM pamoja na hiden agenda zako za kutaka kuhamia CHAUMA ww na kundi lako endapo utakosa tena uongozi ndani ya CDM, Pia unadai hupendi kuona watu wakitoa habari FCBK kuja humu kwani unajua kuwa ule utumbo unaoandika fcbk na kupostiwa humu na wanamageuzi ndio unaokuumbua.

MUNGU WA ISRAEL AKUHURUMIE.

THINK BIG.

Tabia yako ya kukariri usipoacha utaleta fedheha.Nimeshachangia hii thread na nimesizitiza na kujibu post ya akina [JFMP3]Kimbunga na Philipo[/JFMP3] na afterall siyo lazima kila thread nichangieGrow up....

Nimesema members should protect JF by ignoring useless posts.Halafu hiyo project yenu ya kunichafua huku haitafua dafu mbele yangu.Eti CHAUMMA?Bado hujanifahamu vizuri mnaonyesha ufinyu wenu wa mawazo tu.Mnanijua vizuri ndiyo maana mmeanza kuweweseka na michezo yenu michafu mapema.You'll feel the heat na mnajua hamna uwezo wa kunizuia.

Endeleeni kushinda kwenye FCBK page na Twitter za watu.Ati huo ndiyo uanamageuzi.....ha ha haaa! Nawapa headache sana na hilo genge lenu.Kwanza hapa siyo mahala pake.

Dude get your facts right. Yes, its known to all that you're an unredeemable tribalist, but calm down and stop foaming at the mouth for a quick minute

I've got better things to do than scuffle with intellectual dwarfs who think shouting is synonymous with debating.
 
Mkuu Kimbunga,

Umeongea mambo ya kweli kabisa comrade.Na ikitokea tusipojitahidi kulinda heshima ya JF basi hatutakuwa na chuo,semina wala mihadhara huru mahala pengine.Hakuna jambo linalokera kama kuona post zinazotakiwa kuwa facebook na ze utamu zikiwa posted hapa.

Zamani tukiwa na akina Kitilamkumbo,MTM,Mwanafalsafa1,ETM,Keil,Firstlady1,Kichuguu,mwanakijiji,mwanajamii01,kiranga,FMEs,Augustine Moshi,Rev.kishoka,Mkandara,kimbunga,nguruvi3,ritz,rejao na wakuu wengine JF ilikuwa shule tosha.Enzi hizo ilikuwa burudani tupu ila siku hizi unaona maneno tu...mapovu @ work,dhaifu na upuuzi mwingine.

Invisible na moderators wanajitahidi kufanya kazi nzuri but hata sisi wenyewwe sasa tuchukue hatua.Tujenghe utaratibu wa kusuasia post au thread za poster yeyote anayejaribu ku-undermine the spirit of JF

Also,Due to the massive popularity of JF, its often usual to hear people say "JF said mr xxx is dead, or mrs yyy has turned into a goat etc remember as Tanzanians because of wide spread paranoia, people jump to conclusion and the forums overall vision may be undermined

However,Jamiiforums (ofcourse where we dare to talk openly but now reliably) only give room to discuss (agree/disagree with) whatever news is on the air. The credibility or lack of it is for the source of the news.
LIKE mkuu Ben. Ni kweli lugha zisizofaa na kipuuzi zinaharibu utamu wa jukwaa.
 
zitto hata akifanya mema kiasi cha mlima kilimanjaro, hawezi kukubalika chadema. mbowe anamuogopa sn. huwa hapendi hata kumuangalia usoni. hiki chdm kina wenyewe na wenyewe ni watu wa kaskazini. kosa la zitto ni kutokua mwana kaskazini. hizi propaganda za gazeti hauwezi kuziamini. besides, sera ya zitto inajulikana. yeye anasema SIASA SIYO UADUI. zitto nakushauri uhamie NCCR au CUF. achana na chdm. mtei hakutaki

Hardcore Tribalist......
 
Baada ya hayo majembe kuuwawa, je nini kitafuata? je hii ndio Tanzania tunayoitaka?hapo naona badala ya kupunguza matatizo,amani itatoweka matatizo yataongezeka, ccm/serikali kuweni makini na hilo
 
Tabia yako ya kukariri usipoacha utaleta fedheha.Nimeshachangia hii thread na nimesizitiza na kujibu post ya akina [JFMP3]Kimbunga na Philipo[/JFMP3] na afterall siyo lazima kila thread nichangieGrow up....

Nimesema members should protect JF by ignoring useless posts.Halafu hiyo project yenu ya kunichafua huku haitafua dafu mbele yangu.Eti CHAUMMA?Bado hujanifahamu vizuri mnaonyesha ufinyu wenu wa mawazo tu.Mnanijua vizuri ndiyo maana mmeanza kuweweseka na michezo yenu michafu mapema.You'll feel the heat na mnajua hamna uwezo wa kunizuia.

Endeleeni kushinda kwenye FCBK page na Twitter za watu.Ati huo ndiyo uanamageuzi.....ha ha haaa! Nawapa headache sana na hilo genge lenu.Kwanza hapa siyo mahala pake.

Dude get your facts right. Yes, its known to all that you're an unredeemable tribalist, but calm down and stop foaming at the mouth for a quick minute

I've got better things to do than scuffle with intellectual dwarfs who think shouting is synonymous with debating.

poor you mwanachama wa CHAUUMMA!

NIMEKUELEWA MWENYEKITI WA VIJANA WA CHAUMMA TZ.
 
Nadhani Chadema imeingiliwa vibaya sana, pengine sasa tumejaza machinga na kiboko msheri tukidhani tunaibua wanachama..Kwa matusi ya humu ndani tunaanza kuonekana wote wahuni tu..
 
Nadhani Chadema imeingiliwa vibaya sana, pengine sasa tumejaza machinga na kiboko msheri tukidhani tunaibua wanachama..Kwa matusi ya humu ndani tunaanza kuonekana wote wahuni tu..
Kweli kabisa , JF ya sasa is no longer the JF I joined in 2008.
Looks more like a street forum!
Vijana inabidi waambiwe waache matusi.
 
Akifa kiongozi mmoja, mimi nitaanza na riz1 na baadaye watoto wote wa mafisadi watakufa mfululizo, maana hakuna atakaye walinda.
 
Asante Tumaini Makene, hii inadhihirisha ukweli kuwa Kikwete ni kiongozi wa genge la wauaji, tukianzia na yule Prof. aliyeuawa kimafia baada ya kusema amemwona Balali Marekani, kisha Dr. Ulimboka. ......silly season on the move.........
Aisee hivi ndicho kisa chenyewe kilichotoa uhai wa Profesa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom