Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Kama umewauma kushinda pelekeni wachumba zenu wakapewe hilo taji
 
Waliosoma naye shule ya msingi Tanzania jitokezeni mtusaidie. Just incase kama hakusoma marekani full.
 
Lundenga unaua makusudi Mashindano ya MISS TANZANIA , tangu lini bibi kizee akubaliwe kushiriki ? Ndio maana wadhamini wa maana wameondoka umebaki na matapeli wa 10% tu .
 
Kwenye hizo M 65 kuwa zilikuwa za mfuko wa jimbo(inaweza kuwa alihonga but usiseme za mfuko wa jimbo or else leta ushahidi)..umeleta siasa za wa lumumba na bavicha..kwenye umri uko sawa,
Unadhani kwanini bibi kizee ameruhusiwa kushiriki mashindano ya wasichana ?
 
yani ccm wanakaba kila sekta kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii,halmashauri, wizarani, ikulu na sasa wamehamia kwenye u'miss?
Ngoja mimi niendelee zangu kulima mahindi.
 
Hapo kwenye umri naona ndo ipo shida zaidi na ni rahisi kuupata ukweli tofauti na hilo la rushwa.

Tayari passport imewekwa hivyo basi mwenye clip ya huyu binti akitaja umri wake kwenye hayo mashindano atupie ama mwenye documents za Lundenga zinazoonesha umri wa washiriki.

Halafu malalamiko juu ya hii kamati na mwenyekiti wake,yamekithiri Sana kwenye media.

There's something wrong somewhere.
 
Nyie watu wageni miss Tanzania? mzee mtemvu ahonge pesa ili bintiye ashinde kwani hajui kuwa kigezo kikuu cha kushiriki na kujihakikishia ushindi ni kwa binti kugegeduka?
 
Nilijua tu...toka siku ile namuona jukwaani pale na sura ngumu kama ya muhogo nikasema huyu hana sifa, wenye sifa zao ambao ni watoto wa wakulima, wafugaji, na wafanyabiashara wa kati, wakanyimwa ushindi, yule binti aliyejibu swali la family planning yule aliyekuwa wa mwisho kujibu ndo alistahili nafasi hii ya U-miss...kumbe ushindi ulishaandaliwa zamaaaani, watu wanapelekwa kwenye mbuga zetu za wanyama kuziona bure kumbe ndani kwa ndani kulikuwa na mshindi alishaandaliwa tayari?

duuuuuuuuuu............Lundenga huwa anawafaidi sana daaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom