Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Hii saga ya kudanganya umri ichunguzwe bila kuhusisha hizo millioni zinazotajwa. Miss Tanzania na siasa za Tanzania vitu tofauti. Changieni mada kwa tija siyo ushabiki tu.
 
sisi unatulaumu bure mkuu , haya mambo yameletwa na mama mzazi , hasa baada ya kuona mwanae anapunjwa umri !
 
Mtoto ni baraka toka kwa Mungu, so don't go there

Vanessa: Kweli jambo usilolijua ni sawa na USIKU WA KIZA NENE.

Sheria za mashindano ya Miss Tanzania/world zinasema wazi kwamba kama msichana alishawahi kuzaa basi hastahili kushiriki mashindano ya miss world.

Hii ni sheria wa waandaaji wa mashindano hayo. Kwa hiyo suala la Sitti kuwa na mtoto (pamoja na kwamba ni baraka ya M/Mungu) alikuwa HASITAHILI kabisa kushiriki mashindano ya miss Tanzania.

Ndio maana wengine wameshaanza kutuma malalamiko yao miss world tovuti Miss World Organisation hivyo Siku Sitti akionesha tu sura yake huko lazima akutane na gynecologist kuthibitisha hizo tuhuma za kuwa na mtoto.

Kumbuka huko hakuna longolongo kama Bongo!
 
kuna busara kubwa kuwa malaika israel mtoa roho haonekani.
 
1. IMPERSONATION (Kujifanya msichana)

2. OBTAINING MONEY BY FALSE PRETENSE
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huyu Binti Mtemvu ni actress mzuri sana ... mwanadada wa umri huo uwe ni 29 au 25 ku-act kama 18 na kuwapumbaza kama sio kuwazuga waandaaji na majaji kuanzia kitongoji hadi taifa!!! ...

Kawapumbaza au kawahonga? Call a spade a spade bro!
 
Nilisoma na mdogo wake Lundenga miaka ya 90 mwishoni. Mara nyingi alikua akidai wanatembea sana na hao mabinti kwa kuwaahidi ushindi...

Sasa ndo napata picha. Kuna madudu sana huko miss tz. Kilicho wazi ni kuwa hakuna atakaekubali kuwajibika hadi yawafike shingoni...

Ukoo wa panya!!
 
Vanessa: Kweli jambo usilolijua ni sawa na USIKU WA KIZA NENE.

Sheria za mashindano ya Miss Tanzania/world zinasema wazi kwamba kama msichana alishawahi kuzaa basi hastahili kushiriki mashindano ya miss world.

Hii ni sheria wa waandaaji wa mashindano hayo. Kwa hiyo suala la Sitti kuwa na mtoto (pamoja na kwamba ni baraka ya M/Mungu) alikuwa HASITAHILI kabisa kushiriki mashindano ya miss Tanzania.

Ndio maana wengine wameshaanza kutuma malalamiko yao miss world tovuti Miss World Organisation hivyo Siku Sitti akionesha tu sura yake huko lazima akutane na gynecologist kuthibitisha hizo tuhuma za kuwa na mtoto.

Kumbuka huko hakuna longolongo kama Bongo!

Subiri uone anavyorudi na taji.la miss world sijui utaficha wapi sura yako
 
Back
Top Bottom