Tuheshimu dini za wenzetu

Tuheshimu dini za wenzetu

Ila vyote viwili sio kweli!! Ukristu ni uzungu na Uislamu ni uarabu. Sasa tafuta dini yako ya asili yenye uhalisia wako. Mababu zako ndio kiunganisho na Muumba wa kweli. Naamini hakuna Muumba wa kweli anaemtoa mwanae kafara!
Huwa nashangaa sana. Unakuta mtu anasimamisha mishipa ya shingo na kujiita eti mimi mkristo au muislam. Wakati hizi dini zililetwa Kwa ajili ya kufanya watu weusi kuwa watumwa. Kuwa muislam au mkristo ni kuwa Bado unaedeleza utumwa. Jitambue
 
Utakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu
Ulishakufa ukaulizwa hayo maswali kaburini ndg yng au umesoma tu kwenye msaafu?
 
Utakapokuwa peka yako kaburini kama ulivyozaliwa peke,utaulizwa Mola wako nani?Dini yako dini gani?Mtume wako nani na kitabu chako kitabu gani?hapo ndipo utakapoujua ukweli,na kumbukaa utakaa mda mrefu sana kaburini,maana hata Adamu mpaka leo yuko kaburi,na hatujui kiama ni lini?na huko kuna adhabu ambayo inaitwa adhabu ya kabri
Unajua mtu ukifa kuna wengine dhambi zao zinasimama na wengine dhambi zao zinaendelea kuongezeka huku wakiwa kaburini?hizi elimu utazipata ndani ya Uisilamu tu,ingawa haumlazimishi mtu kuslimu
Huulizwi hivyoo unaulizwa uliyoyakosea basi na kama umefanikisha kwenda ahera kunywa divai basi
 
Back
Top Bottom