Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

akiongea jana makao makuu ya cuf buguruni Prof Lipumba amesema endapo Rais kikwete ataendelea kuziba masikio, baada ya mawaziri wanane kutakiwa kujiuzuru na wabunge ambao ndio sauti ya wanainchi sasa tunamuwajibisha yeye kwa kuwa yeye ndie anayeulinda ufisadi unao wafanywa na mawaziri hao. alisema Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi Duniani.
 
Hivi akiamua kusikia kesho ndio basi all will be well..?
au inabidi awajibishe kwa kuwa na tatizo la kuchelewa kusikiliza au slow ku-act
 
akiongea jana makao makuu ya cuf buguruni Prof Lipumba amesema endapo Rais kikwete ataendelea kuziba masikio, baada ya mawaziri wanane kutakiwa kujiuzuru na wabunge ambao ndio sauti ya wanainchi sasa tunamuwajibisha yeye kwa kuwa yeye ndie anayeulinda ufisadi unao wafanywa na mawaziri hao. alisema Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi Duniani.

CUF nawaonea huruma sana.Mkiiondoa CCM na nyie kama washrika kwenye serikali ya mseto mtakuwa mmeondolewa?
 
CUF imeporomoka machoni pa mwenyenchi Lipumba anataka kutumia fursa hii kurudisha matumaini
 
akiongea jana makao makuu ya cuf buguruni Prof Lipumba amesema endapo Rais kikwete ataendelea kuziba masikio, baada ya mawaziri wanane kutakiwa kujiuzuru na wabunge ambao ndio sauti ya wanainchi sasa tunamuwajibisha yeye kwa kuwa yeye ndie anayeulinda ufisadi unao wafanywa na mawaziri hao. alisema Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi Duniani.

tuweekeeni tarehe ya maandamano tunawatu wengi tu nyuma yetu tayari kwa maandamano
 
wameshindwa kuondoka mawaziri na ma naibu wake ndio aondoke Rais, mnapoteza muda tu, fanyeni shughuli za kimaendeleo achaneni na mambo ya maandamano, subirini 2015 ndio sauti zenu zitasikika!!
 
sahihisho; sio ya kumtoa kikwete ni ya kumwambia awawajibishe mawaziri wake
Safi sana kwa angalizo mkuu, kwani kumtoa ni UHAINI. Hata kama lengo ni kumtoa huwezi kuiweka wazi namna hiyo, hayo yatakuja kama matokeo ya Ghadhabu ya UMMA
 
Pamoja na uzee wangu nilonao, nitakuwa front line katika maandamano hayo.
 
Mi hizi mbwembwe ndo huwa sizipendi...!
Mnamshushia hadhi Prof kwa kumvika mavyeo ya uongo.

hivyo ndivyo ilivyo kama una chuki nae hazitakusaidia mungu ndie aliyempa uwezo na wazungu wamemuona, amekataliwa na kijiji anaongoza Dunia.
 
Prof lipumba na cuf yake watutangazie ni lini tu tutaandamana jk nchi imeshamshinda kitambo sn tukisubiri mpaka 2015 hali ya nchi itakuwa imefika pabaya sana
 
Back
Top Bottom