Tugeuze uwanja wa ndege Chato kuwa Chuo cha Urubani

TULiKubaliana sehemu ya mifugo kupumzikia, au tumebadili matumizi tuliyokubaliana.
Mifugo hapana ni matumizi mabaya ya Kodi zetu.Angalau wakulima waanikie dagaa, samaki,na mazao ni sahihi Ili nyasi zisiote
 
Ni wazo zuri lakin usisseme kuwa Tanzania tuna uhaba wa marubani kwa sababu hakuna vyuo vya urubani vyuo vipo ila watu wanashindwa kumudu gharama zake so itakuwa vizur kama na gharama zitakuwa affordable
 
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.

Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.

Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
Uwanja wa jeshi tu hapo, JWTZ.
 
Nadhani pia tuende mbali zaidi kwa kufanya forensic audit ya gharama za ujenzi kwani tuliambiwa mjenzi alikuwa mume mwenzake Mwendazake
Kama kwa Sasa mnauona hauna maana,baadae mtajua jamaa alikuwa ginius,sio Kama ww unayewaza umbali wa mita moja.aliye leta mada ni ginius pia ,sio Kama ww popoma!!
 
TULiKubaliana sehemu ya mifugo kupumzikia, au tumebadili matumizi tuliyokubaliana.
119714308-wild-animals-on-the-runway.jpg
 
wengine mara tufanye sehemu ya kujifunzia magari, tufate lipi sasa.
 
Mifugo hapana ni matumizi mabaya ya Kodi zetu.Angalau wakulima waanikie dagaa, samaki,na mazao ni sahihi Ili nyasi zisiote
Watu hawajui tu kiwanja hicho kitafanya kazi sana hapo baadae maana mtu hawezi kutoka katoro akapa de ndege mwanza! Lakini vichwa pamzi hawawezi kuona na alhamisi unatangazwa kuwa mkoa!
 
Ndege ya mwisho kutua hapo ni ile iliyompeleka mwenye uwanja wake kijijini kwake.Labda ndege za kichawi unazungumzia na sio commercial flight
 
Nadhani pia tuende mbali zaidi kwa kufanya forensic audit ya gharama za ujenzi kwani tuliambiwa mjenzi alikuwa mume mwenzake Mwendazake
Hayana faida hayo tena, tuendelee na yaliyopo kwa sasa.
 
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.

Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.

Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
Nimesoma Comments nyingi za Watu hapa na Kugundua kuwa huenda Hayati alikuwa akidhani anapendwa na Watanzania wengi ila kuna Uwezekano mkubwa kuwa ndiyo alikuwa Rais aliyewahi Kuchukiwa zaidi na Wananchi wake katika Utawala wake.
 
Wengi tunafahamu kuwa kujenga uwanja wa ndege Chato lilikuwa ni jambo la ajabu kiuchumi na ukanda mbaya sana. Jambo lisilopaswa kutokea tena.

Lakini uwanja ule tusiuache uoze, ni pesa nyingi zimetumika. Napendekeza tuufanye kuwa chuo cha urubani. Serikali na watu binafsi wajenge shule za urubani maeneo hayo. Nchi inahitaji marubani, kuanzia ndege ndogo za kunyunyiza dawa mashambani na kuua nzige hadi wa kurusha dreamliner.

Naona hilo litakuwa ni matumizi mazuri ya uwanja ule.
Mlipoambiwa ule uwanja utakosa kazi mlitukana sana. Mlitema mate mengi sana kwenye microphones!
Ni hivi... Hakuna rubani atakubali kwenda kule mafichoni kujifunza huo urabani. Na watakaokubali I doubt kama watakuwa marubani wazuri!
 
Back
Top Bottom