Tufanye je ili makabila yanayofuga kwa kuhamahama yatulie kufuga kwa tija?

Hizi nchi zetu za daraja la tatu bana, yaani sijui huwa zinaongozwa namna gani...!

Mi naona kuna hii kitu inaitwa sheria masala... yaani ni mchanganyiko wa mila, desturi, sheria, kanuni mawazo binafsi ya viongozi, wenye pesa zao... na mchanganyiko wa mawazo kutoka kwa viongozi na raia kutojua haki na wajibu wao.

Viongozi na raia wamekalia ushabiki wa kisiasa tu.
 
suluhisho lako ni nini?
 
Back
Top Bottom