Tufahamishe: Uliijuaje JamiiForums? Unawaambia nini wasio wanachama?

Last edited by a moderator:
ahahahahhahahhahahahhahahahahahahhaahahhhhhhhhhhhhhhhhhh sitaki kuamini kuwa umesikia wivu!
mwe!
WE UNAJUA VILE YU HAVE A VERY SPECIAL PLACE IN MY HEART!
ehehhehehhehe kumwambia mtu unampenda kwa kidhungu kuna maneno mengi!cha!

uuuwih!nimetamanije kukurukia sasa kwa kusikia raha!
wakati mi natiririka huko nnavokurah vyuu sana na we unamwambia mtani huku!
HAI RAV YUUU SANA!
ha haa, sasa je.....
ndo wanasema mioyo yetu inabiti pamoja au? mi hata sijui
mapenzi ni kupendana..... siyo kupenda au kupendwa..... kwa raha zetu
 
atakapokuwa ananidunda ujage kunitetea!
dada kubwa mekumithijeee!
hai rah yuuuuuuu SANA!
we unajua jinsi nilivyo sipindui kwako!cha!
hv hakunaga limbwata la mtu kumwekea mdogo wake!?

Ili iweje sasa na wewe??

Ngoja nimuulize Kaizer kama syllabus zenu zinaruhusu kuonja ganja...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha. Hapo ameamua kuendelea kuhamia uchagani.
umeona eeeh! ni majangaaaaaaa.....
sijui wachaga nyie mnampa nini? yaani raha zote zile za ungonini bado anawaza kuhamia huko jumla? hata kama mahari mlimaliza, siyo hivyo kabisaaaa
 
umeona eeeh! ni majangaaaaaaa.....
sijui wachaga nyie mnampa nini? yaani raha zote zile za ungonini bado anawaza kuhamia huko jumla? hata kama mahari mlimaliza, siyo hivyo kabisaaaa

ahahahhahah MIMI NA WA WACHAGA!
NISAHAULIWE!
japo juzi kati wanyamwezi walitaka kunipa unga wa ndere
 
umeona eeeh! ni majangaaaaaaa.....
sijui wachaga nyie mnampa nini? yaani raha zote zile za ungonini bado anawaza kuhamia huko jumla? hata kama mahari mlimaliza, siyo hivyo kabisaaaa

hahahaha. Kwa shida na raha, maradh na uzima mpaka kifo kitakapotutenganisha naye
 
natamani ujue nakuimaginije!
ahahahahhahah sijui nikuchore!

Ha ha ha, yaani wewe ungejua navyokuimagine ungeniua
Huwa nakuona umeubana mkoba wako hapa karibu na manyonyo
Una sketi yako panapana inafikia chini ya magoti
Na blausi kama suti hivi ina mikono mireefu hadi vidole havionekani
Rangi unazopenda ni scream na brown
Na viatu sandals vyenye sole nene, kichwani una wigi kuubwa
Afu unaongea haraka haraka na kutembembea unaharakisha hadi unainamia mbele

yaani, full kufahamiana,
hadi nyendo zetu za kila siku....
imaginations mbaya
Wee tatizo lako huwezi kukaa bar peke yako
Hadi uwe na mtu, full maaibu
 
Back
Top Bottom