Tufahamishe: Uliijuaje JamiiForums? Unawaambia nini wasio wanachama?

Last edited by a moderator:
nikiwa member mzuri wa fb moja ya matangazo yanayopita kule ni ya jf kuna siku nikaamua kuclick link bikaanza kusoma maswaiba ya wadau ndo nikaswawishika kujiunga, vinginevyo sikujua kama kuna kijiji huku na watu wanaishi, its nice I'll be here now and then. Big up to founders!!

Karibu sana.
 
karibu sana...
yaani huku ndo mambo yote, unaweza sahau FB ujue. huku mi naona tupo live zaidi, ingawa watu wanaingizana mjini, lol! wakiona avatar yako hapo basi wanafikiria in reality unafanana na Beyonce..... full kukukimbizia, lol!
 
hahahaaaa uzuri wake mie tangu fb huwa naweka vitu the opposite kasoro jinsia tuu, wakifata avata imekula kwao wataambulia manyoya tuu
 
Walitupotezea mtandao mmoja ulikuwa unaitwa Darhotwire na wenyewe ulikuwa sawa na huu wakati huo ukiitwa jamboforums na ulipofungwa ule nikajikuta kuna watu niliokuwa nachat nao kule wamehamia mtandao mpya ma mimi nikajiunga ila sikumbuki ni nani aliyenialika humu
Na ID hii nimeanza nayo toka Drhotwire
 
Nilikua naingia kama mgeni tangu mwaka juzi, nasoma nafurahi
Mwaka jana nikavutiwa kucomment kule jukwaa la MMU ndipo nikajiunga
Kuja huku CC nikaona watu wapo kama vile wanafahamiana mara mke/mume, dada/kaka na mashemeji ndo usiseme, utani na mzaha mwingi...
Kidogo kidogo mara PM,Mara Friend request,mentions,quotes,thread tag.....nimejifunza mengi....basii ikawa hivyo
 
karibu sana...
yaani huku ndo mambo yote, unaweza sahau FB ujue. huku mi naona tupo live zaidi, ingawa watu wanaingizana mjini, lol! wakiona avatar yako hapo basi wanafikiria in reality unafanana na Beyonce..... full kukukimbizia, lol!

hilo nalo neno mie FB siku hizi waala....
mambo yote JF nainjoy saana, u meet people
hamjawahi kuoana lakini it feels good!!!!!!!!!!!
 
mimi nilialikwa na rafiki yangu ambaye ni member huku. nikashangaa tu nimepata kaemail kananiambia fulani anakualika kujiunga na Jamiiforum..... nikajua tu ananitega, nikajiunga.
kabla ya hapo nilikuwa msomaji tu na mara nyingi tulikuwa tunaongea sana na huyo rafiki kuhusu JF lakini sikuwa member.
Swali la kizushi kwa Invisible..... huyo rafiki aliyenialika hapa na mimi nikajiunga kuna uwezekano wowote akawa anaijua ID yangu hata kama sijamtajia? maana siku nyingine nawekaga stori zake huku, huwa hachangii lakini kuna siku nikajishtukia usikute anaijua ID yangu
kama ni huyo ulo mmenshen atakuwa anajua pasiwedi wako vizuri. mie nahisi huyo ndo alikualoka
 
hilo nalo neno mie FB siku hizi waala....
mambo yote JF nainjoy saana, u meet people
hamjawahi kuoana lakini it feels good!!!!!!!!!!!
mi siamini kabisa kama sijawahi onana na Kongosho, King'asti, Kaunga, KOKUTONA, BAK, The Boss, Erickb52, amu, Madame B, Mtambuzi, Nicas Mtei, Arabela, C6 Mamndenyi, dada white, Ablessed, watu8, FirstLady1, Nyamayao, MwanajamiiOne, Dark City, Kaizer, Jiwe Linaloishi, sister ........ yaani sikuelewi kabisa ukiniambia hawa watu sijawahi onana nao
 
mie sijawahi kuonana na mtu hata mmoja
sijui kama umepata point yangu

but the way nikiwa hum chit chat it feels like
naongea na my close friends ambao I know them better
 
Back
Top Bottom