Tufahamishe: Uliijuaje JamiiForums? Unawaambia nini wasio wanachama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufahamishe: Uliijuaje JamiiForums? Unawaambia nini wasio wanachama?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Invisible, Jan 22, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Wewe kama mwana JamiiForums, tushirikishe:

  - Uliifahamu vipi JamiiForums?
  - Nini kilikushawishi kujiunga na mtandao huu?
  - Vitu gani vilikuwa vinakuogofya kujiunga kabla?
  - Unawaambia nini wale ambao hawajajiunga na mtandao huu?

  Karibu kwa mjadala
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Binafsi sikuambiwa, sikuwahi kuona mtu yoyote akisearch ila nili google kapersky antivirus katika majibu Jf ilikuwepo na nilipo select nikagundua kuna mambo mengi mazuri.

  kwa sasa JF imekuwa zaidi ya dozi ya kutwa mara tatu mpaka wife anadai JF is second wife/ nyumba ndogo

  karibu
   
 3. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Mimi nilitumiwa email yenye baadhi ya post hadi leo bado natumiwa ikiwa na selected posts. Ndivyo nilivyoijua
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nisifa zake nzuri ndo zilizonivutia,my frnd from ndo alikuwa foreline kunipa uzur wa ALMASI HII YA KIJAMII
   
 5. facebook

  facebook Senior Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mh.Pius Msekwa ndiye aliyenifanya niifahamu JF
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
 7. facebook

  facebook Senior Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hata mie pia nakumbuka ilikuwa mwaka 2008
   
 9. m

  mkalagale Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua ukigoogle kwa kutumia lugha ya kiswahili ukitaka kujua kitu chochote katika ya matokeo ya kugoogle mara nyingi jf huwa imo na ndivyo nilivyoijua
   
 10. C

  Capitalist Senior Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mimi pia nilikuwa nagoogle kitu flani ghafla bila kujua ikaniletea ikiwa kwenye jamii forums nikaselect nikagundua kuna jf , ila kujiunga niliangaika sana lakn baada siku nilifanikiwa bila msaada wowote na nikawa member.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Same to me ilitoke kupitia shekh go0gle
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  niliifahamu JF kwa kuambiwa uwepo wake na msera wangu mmoja ambaye ni mtandawazi sana kuliko mimi. Nilikuwa nikimrushia mada tofauti za kuhitaji uwajibikaji na uzalendo, lakini siku moja akaniaambia mada zako ni nzuri sana, lakini tunazifikia wachache kwa sms unazotuma. hebu panua wigo, nenda kwenye mitandao ya kijamii kama face book na jamii foramu.

  nilipoanza kuhudhuria huku, JF palinivutia sana, kwani unaweza hata ukamlipua boss wako bila yeye mwenyewe kujua nani katoa taarifa zake kwenye mitandao.

  naipenda sana JF
   
 13. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kuna thread Asha Dii alishaianzisha ikiwa na same mantiki na hii. Hamna haja ya kujaza thread marudio.
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wewe nyodo zako,zitaisha lini!
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mimi nilikua ninatafuta habari hasaha zinazowahusu January makamba,liziwan kikwete na mbowe,majibu mazuru nikayapata jamiiforums,lakini kama kawaida hapo juu nikaambiwa nikija kupata zaidi nijiunge.nilipojiunga ni furaha kwa kwenda mbele..
   
 16. Jeni

  Jeni Senior Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kutoka Jambo Forum
   
 17. M

  MyTz JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nilijuzwa
   
 18. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  marafiki.com
   
 19. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sikumbuki!
   
 20. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  we msahaulifu!umesahau nilivyokuambia ujiunge.....kweli una mambo mengi!
   
Loading...