Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
1,145
Reaction score
1,344
nishasanuka!!!!

Endeleeni ku’gatekeep!!

Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
09456519-C66F-4646-8560-AA39AD6FE503.jpeg
 
Wakuu kwema!
NRNE inaendelea

Wakuu kuna wana kama 3 hivi wanapiga hela Facebook huko
Wanasponsor link za video (explicit ) then watu wanalipia kufungua hizo websites
Hawatumii pesa kusponsor

Wanaongea kwa code sana kuwaelewa ni ngumu sana.
JF najua ni magreat thinkers watupu hamuwezi ku’gatekeep mambo kama hawa wana,maelezo ni hayo leteni idea na sisi/mimi niijue kiundani hii issue wakuu nitoke broke!🙏🏾
Wana gani hao embu leta taarifa na vithibitisho mkuu upate msaada vizuri
 
Ni kweli wanapiga ila ngoja wataalamu waje ,kuna dogo wangu anapost mambo ya mpira anapata engagement then anapiga pesa.
 
Naendelea kujifunza,ila JF kama yupo mtu anajua hii ishu tujuzane wana sio wana
DAFAD185-3C0C-496D-B8DD-C90796B74F72.jpeg
 
😅😅😅😅 unataka dm yako wanase sio??
 
Back
Top Bottom