MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,378
hili ndilo jibu hakuna zaidi ya hilo, ni kweli kwamba kwenye kukadiria kodi rules of origin in apply ambapo inatakiwa 70-75% iwe imetengenezwa kwenye nchi husika hapo ndio bidhaa itahesabika kuwa inatoka nchi hiyo sasa sidhani kwenye haya mafuta yako processed kwa kiwango hicho huko yatokako.tatizo TRA wamemaliza kumkamua ng'ombe kila njia sasa waanza mchuna ngozi na hapo ndo tatizo linapoanzia kodi haitakiwi kumuumiza mlaji na hapo wasidhani kwa kuweka kodi kubwa kwe mafuta ghafi basi wanaoumia ni kina mohamed dewji hapana..hii kodi huwa inashuka kama kawaida kwa mlaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa kipato cha chini