We upo mkoa upi..Kuna daktar bingwa wa wanaume wawili wapo hapo dar hapo naweza kukuelekeza ukaenda kupata vipimo..maana mim nategemea pia ramadhani ikiisha nije dar nionane nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga na kutisha watu wewe. Vumbi la congo bei ni 5000 hadi 10000. Unajua bei ya gram 1 ya cocaine au heroine wewe? Yani mtu achanganye madawa hayo halafu still uuziwe bei rahisi. Vumbi linafanya kazi ila wengi hatujui madhara yake (potelea mbali)Fanya utafiti juu ya hili vumbi la Congo, utakuta kuwa inawezekana kabisa humo wanachanganya na madawa ya kulevya hasa cocaine!! Huwa hawasemi contents zake hivyo nisingeshauri kulitumia kwani most likely ni addictive; ukishazoea huwezi kacha utakuwa umenasa kama teja!!! Tumia vitu vya asili kama ulivyoshauliwa hapo juu.
Mkuu binfasi mimi nimekaribia kumaliza gunia la karanga mbichi, ila sijawah pata uafueni wowote
Ndugu mimi hadi hapa nilipofika hata debe sita zimefika za karanga, maparachichi,matikiti,korosho zote holaa kwakweli napata wakati mgumu sana..
Aisee piga tizi mkuuMkuu nami pia ni hivo hivo ila mim nkimmuandaa mke mda mrefu uume inalala nani nikitachelewa au nkiingiza uume nkipampu tu dk3 inalala haisimami tena hadi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbi linafanya kazi ila wengi hatujui madhara yake (potelea mbali)
N.B: mtumiaji mzoefu wa vumbi
Asante mkuu nimekuelewa. Kwa maoni mengi humu yaliyotolewq kwa kweli siwezi kujaribu mkongo ngoja nifanye tafiti zingine tu naamini hakuna linaloshindikana...
Acha ujinga na kutisha watu wewe. Vumbi la congo bei ni 5000 hadi 10000. Unajua bei ya gram 1 ya cocaine au heroine wewe? Yani mtu achanganye madawa hayo halafu still uuziwe bei rahisi. Vumbi linafanya kazi ila wengi hatujui madhara yake (potelea mbali)
N.B: mtumiaji mzoefu wa vumbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Paka kidogo tu eneo la kichwa then funika/funga na mfuko wa plastic (Rambo)kwa muda wa masaa 2 au kadri utakavyo ona wewe.Angalizo hii kitu ipake ukiwa na uhakika wa papuchimkuu naomba kujua kipimo cha upakaji?
Na lapilli upakaji wake ni eneo la kichwa, sasa chini ya kichwa je pia panapakwa au hapana?
sijaelewa point yako baada ya ramadhani unataka kuanza nini??Mkuu ushauri wako mzuri sana nami ntaanza baada ya ramadhani ila tangawiz itanishinda na vidonda vya tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
sijaelewa point yako baada ya ramadhani unataka kuanza nini??
kama unaiheshimu ramadhan endelea kuiheshimu na miezi mingine mkuu nakushauri
Dah sasa mimi ningekuwa kama wewe si ningeshukuru mkuu!!!Kwanza wakuu poleni na matatizo yanayowakumba. Naomba na mimi nichukue fursa hii kueleza yangu. Labda wataalamu wanaweza nisaidia.
Ukweli mimi nina shida ya kuchelewa sana kumaliza tendo muda fulani simalizi kabisa kifupi nadhani uume wangu hauko sensitive kabisa...