Tucheke kidogo na hii conversation ya wapendanao!

hahahahahahaha pole jiranj but uza ng'ombe ule bata jirani utazeekea msituni ohooooo

Asante..

Labda kama chadema wakishika nchi 2015.

Nili haidiwa ka cheo na muheshimiwa.

Si unajua mikoa na wilaya ziko kibao tutakutani tu huko mjini na mtaniita baby.

GOD BLESS CHADEMA..😛eace:

Na
log out jirani
 
hHahahahahahaha un vituko uitwe baby uzeeeni aiseee
haya jirani wasalimie huko
 
maelezo yako ndo yamenichekesha..lol
Nimejitahidi kucheka
nimeshindwa, nikataka nijichekeshe bado ikashindikana. Nimejitahidi
kujitekenya bado nimechemka.

Hebu fanya mpango wa kichekesho kingine. Nataka sana kucheka leo nitoe
gas kwa tumbo. Maharage ya Kilosa si rafiki kwa tumbo la mnywa bia na
biskuti.
 
Nimejitahidi kucheka nimeshindwa, nikataka nijichekeshe bado ikashindikana. Nimejitahidi kujitekenya bado nimechemka.

Hebu fanya mpango wa kichekesho kingine. Nataka sana kucheka leo nitoe gas kwa tumbo. Maharage ya Kilosa si rafiki kwa tumbo la mnywa bia na biskuti.

Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake, Mwanangu mpendwa umeniacha ktk hali ya uzee na maradhi, wakati wa kutayarisha shamba umefika, na sina mtu wa kunilimia, natamani ngekuwepo ukanisaidia kulima na kupanda mahindi. Tutaonana mungu akipenda.
Mtoto akajibu. Baba tafadhali usije lima ktk hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela, pesa zote nilizoiba nimezifukia ktk shamba hilo.Kwa kuwa barua zote za wafungwa husomwa na polisi wa gerezani. Baba siku ya pili alipoamka akakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba. Mpaka wakamaliza wasipate kitu. Mtoto akamwandikia babake. Mpendwa baba natumai msaada niliokupa umeufurahia, panda mahindi sasa Mjini akili shamba kilimo.
 
hahahaha hii yako ndo imenichekesha angalau
 
Nimecheka saaana!! ambao hawakucheka hebu wajicheke kwanini hawakucheka!

Kama hakucheka basi
1. Alipoanza kutumia smartphon a.k.a touchscreen haikumsumbua so hayuko na uzoefu na iz vitu

2. Hajawai tumia na hana kabisa au anatumia sim ya botton

So apo hajaelewa
 
Hawa vijana bwana, sijui wana elimu ya BA in certificate of agriculture...sijui..
 
Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake, Mwanangu mpendwa umeniacha ktk hali ya uzee na maradhi, wakati wa kutayarisha shamba umefika, na sina mtu wa kunilimia, natamani ngekuwepo ukanisaidia kulima na kupanda mahindi. Tutaonana mungu akipenda.
Mtoto akajibu. Baba tafadhali usije lima ktk hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela, pesa zote nilizoiba nimezifukia ktk shamba hilo.Kwa kuwa barua zote za wafungwa husomwa na polisi wa gerezani. Baba siku ya pili alipoamka akakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba. Mpaka wakamaliza wasipate kitu. Mtoto akamwandikia babake. Mpendwa baba natumai msaada niliokupa umeufurahia, panda mahindi sasa Mjini akili shamba kilimo.

Lengo lako ulitaka nicheke au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom