Tuandamane mpaka ikulu tarehe 30 August 2008

Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
124
Wana forum,

Nimeshindwa kuvumilia njisi nchi inavyokwenda. nadhani sasa ni muda muafaka wa kwenda kumwambia mkuu kuwa tumechoka na tunataka nchi yetu irudi kuw kama nchi na sio genge la mauza uza. haya ni maandamano ya amani kabisa ambayo myu hatatakiwa hata kuwa na wembe. Ni nguvu ya umma tu inayotakiwa.

Hilo ni wazo langu na nataka watu wa kuunga mkono. haya maandamano yatakuwa hayana kiongozi wala chama, yatakuwa sawa na ya ya waamerika weusi yalioitwa match to Washington. Ni nguvu ya umma pekee itakayoshinda

Action plan will follow after showing your support. Gembe to hell with your masters

Shalom!
 
duh umeenda mbali sana TANZANIA kwa maandamano kama hayo hawajazoa halafu nina ona ni bora watu wakafanya debate ya kitaifa nazani hiyo ni bora zaidi kuliko maandamano kwa sababu itawapa elimu raia wa tanzania na viongozi wetu
 
Kuandamana kwa sababu Corruption imekidhiri na hakuna anayejali, kwa mfano EPA, Richmond nk. Tutawaachia barua/waraka wa maoni yetu. Pia, tunaweza kuelekea embassy za USA, UK nk na kuacha barua za maoni yetu pale?

Dunia itakuwa ikiona haya mambo pia hizo barua. Hivyo presha zaidi kwa mu-ogopa "mtumbwi".
 
Hakuna walioshinda ktk vita yoyote kama hawana Ki/Viongozi, Watu wanaokwenda bila ya Kiongozi, ujue kiongozi wao SHETANI. so lazima muwe/tuwe na Kiongozi. na kama hatuna kiongozi ujue hio ni Big Failure..do not even think.

Pia ukitaka kuwajua watu walivyo,basi angalia viongozi wao. ukiona Viongozi wasanii, ujue na wananchi wake WASANII.
 
Umechoka kitu gani? Unaweza kuandamana wewe peke yako na huo uchovu.. kumbuka kuomba ruhusa kwamkuu wa polisi wilaya
 
Tatizo hiki ni kitu kigeni kwa Watanzania.

Wakati ndio umefika, kwenye nia pana njia! Yale mabango ya wanafunzi juu ya mauli za mabasi ulikua ni mwanzo tu. Natumai hili litawahamasisha Watanzania wengi ambao bado wako kwenye kiza. Labda mambo yatabadilika!?
 
mfumuko wa bei za bidhaa na hali ngumu ya watanzania wa daraja la chini hadi la kati.

Unaona je tuandamane kwamba mnaandika mauza uza jumu JF kwanza ndio tuandamane kwa ajili ya wengine?
 
Wana forum,

Nimeshindwa kuvumilia njisi nchi inavyokwenda. nadhani sasa ni muda muafaka wa kwenda kumwambia mkuu kuwa tumechoka na tunataka nchi yetu irudi kuw kama nchi na sio genge la mauza uza. haya ni maandamano ya amani kabisa ambayo myu hatatakiwa hata kuwa na wembe. Ni nguvu ya umma tu inayotakiwa.

Hilo ni wazo langu na nataka watu wa kuunga mkono. haya maandamano yatakuwa hayana kiongozi wala chama, yatakuwa sawa na ya ya waamerika weusi yalioitwa match to Washington. Ni nguvu ya umma pekee itakayoshinda

Action plan will follow after showing your support. Gembe to hell with your masters

Shalom!

kwi kwi kwi... duh Mkuu Shalom umenivunja mbavu! yaani watu wanaoficha ID wajitokeze mtaani tena kwenda Ikulu kwi kwi kwi... JF tunaweza vita vya kifikra.
 
Will you be on the FRONTLINE Sir or Madam?
 
Idea nzuri..Ila hapa si mahala pake..Hapa watu wenye uwezo wa kuchangia hapa hawana shida...Wengi wao ni vibopa ama ni wana connections..Either ni mafisadi ama watoto wa mafisadi.

Wazalendo mtandaoni na watu wa kawaida ni wachache sana...Na ndio maana usije kushangaa unafungiwa kwa kusema tuadamane dhidi ya JK....Kwanza umeona jinsi idea yako ilivyoonekan kuwa ni ndoto..Hapo watu wako out of touch..Majority ya hawa wanaojiita wana jf ni PRIVELEDGE PEOPLE NA WAKO HAPA KWA MADHUMUNI YA KISIASA NA YA KIBINAFSI...WENGINE NI WAPAMBE NA WANA MABWANA ZAO KISIASA WANAOWALIPA...TAIFA MUOZO NA WATU WAKE WANOIJIITA WASOMI NA WENYE UELEWA WABISHI SANA TU NA MASIKINI WA KUTUPWA PALE INAPOKUJA KWENYE FIKRA ZA KIKOMBOZI!

Na hata response uliyoipata ni ndogo na kuna madharau kubwa sana humu ndani...Labda angeitowa ponti hii mwana jf MTANDAO...Ungeshangaa responses...Na mithanks kwamba amesema kitu cha maana!

NI UOZA UOZA UOZA...Unachotakiwa ni ku lay low na kuwatch the situation periodically utaona ukweli wa mambo...Kuwa idea za mapinduzi ziko hapa lakini zimeshikiwa chini na wale walio PRIVELDGES HAPA JF..Ambao wanaweza waka kohoa dakika moja ukafungiwa moja kwa moja...PESA ZIMEHARIBU DUNIA NA UTU HAKUNA TENA!
Hivyo maandamano hayatasikilizwa....Dawa ni moja tu....
 
Haya mambo yameshaanzishwa na WaPemba sasa mnataka wafanye kitu gani tena mpaka mjue kuwa haya mambo yanawezekana kabisa.
Mpaka UN wamefika sasa hapa mnashauriana kufanya kitu ,wengine wanaanza kusuasua.Hivi tutafika ?
 
mnanikumbusha ule wimbo maarufu wa Sugu enzi hizo akiitwa "Two Proud", wimbo huo ukienda kwa jina la "HALI HALISI"

Tukikubali, tukikataa
Tukikubali tukikataa
ni hali halisi
(mara mbili)

Wacha tutabsamu
tuna maisha magumu mpaka raisi anafahamu
kwa kila hali ni halisi
---------------
------------
mama wacha kulia
tulia vumialia futa machozi
Nani anasema mimi nasema maneno ya uchochezi
mbona mambo yako wazi

Sometimes nakunywa pombe niondoe mawazo
matatizo yananipa shinikizo niuwe mtu
lakini sitaki kuua mtu bora kukosa, no sweat hayo ndo maisha

(rap inaendelea)
-----------------
---------------
ipo siku tutaandamana mpaka ikulu kwa raisi
tukamweleze hali halisi

tukikubali tukikataa
tukikubali tukikataa
ni hali halisi

(mwisho wa rap)
 
kwi kwi kwi... duh Mkuu Shalom umenivunja mbavu! yaani watu wanaoficha ID wajitokeze mtaani tena kwenda Ikulu kwi kwi kwi... JF tunaweza vita vya kifikra.

Huu ndio mfano halisi - Watanzania ndivyo tulivyo. Mbegu imezaa pendekezo na wengine bado wanabeza. Hatutaki kuangalia historia - Romania chini ya Ceausescu lianza hivi hivi na watu walibeza hivi hivi. Ikafuata Mao Tse Tung wa China na si ajabu ikafuata Kikwete wa Tanzania, akina nziku wakabeza mmhh!!! kalagabaho!!

Haya tuendelee...........pendekezo linaweza kuzaa mwamko halafu...pole pole mwamko ukazaa guess what?? mmmhh... Ukweli ni kuwa wanaobeza wana hofu kubwa na kinachowasababishia hofu kiko wazi.
 
Will you be on the FRONTLINE Sir or Madam?

Acheni uoga...Si mlishaambiwa hakuna cha kuogopa isipokuwa uoga wenyewe! We are going to do this. Bring out the plan and let's do it!

jmushi1,

Ishu sio priveledges peke yake. Watu wa kawaida watahamasishwa pia. Hapa JF ni jikoni tu mkuu, sio lazima ulie jikoni.
 
Kiasi WaPemba wadai Nchi yao, maana kusonga mbele kwa wengine ni tatizo la uhai na kifo ,lakini nikiangalia naona siku hazipo mbali kwa tanzania kufikia stage ya kuandamana.
 
Acheni uoga...Si mlishaambiwa hakuna cha kuogopa isipokuwa uoga wenyewe! We are going to do this. Bring out the plan and let's do it!

jmushi1,

Ishu sio priveledges peke yake. Watu wa kawaida watahamasishwa pia. Hapa JF ni jikoni tu mkuu, sio lazima ulie jikoni.

Mlichokifanya wewe na Mag3 ndicho cha maana ...Lakini kina Nziku na wengineo waliotangulia walimkatisha tamaa ndugu yetu Shalom...Sasa hapo ndio unapojuwa hii jf...Ndugu yangu kama hayajakukuta basi huwezi kusema kitu...Ukweli uko wazi.
 
Back
Top Bottom