Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #1,281
Kwamba Michael hakupata ajali ya moto,???? Unahitaji ushahidi???Haya ulioyaweka hapa hukayawekea ushahidi ila unataka tuyapinge kwa ushahidi.
Kwamba Michael hakupata ajali ya moto,???? Unahitaji ushahidi???Haya ulioyaweka hapa hukayawekea ushahidi ila unataka tuyapinge kwa ushahidi.
We tuambie unayo yajuaHujajua maana ya ukweli na si kweli kwamba hakipingiki.
Hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuongelea mambo msiyoyajua ? Hapa ndio huwa napata tabu sana.
Nadhani hayo yote tumesha yaelezea, babu take muarabu, shina na asili yake ni waethiopia, wakati wa kuzaliwa Muhammad Rasi ya Arabuni ilikuwa koloni LA waethiopia, waarabu asilia ni weusi, kabisa..mbona ushahidi wote tumewawekea..Fatima binti hemedi inamaana qurani imechakachuliwa kwa kutosema rangi halisi ya mtume wetu mohamad (pbuh)?
Kwani akiwa mweusi kuna tatizo gani????hivi kwanini akiwa mweusi ni suala LA kubishaniwa na kuhojiwa? Whats wrong with black???Fatima binti hemedi inamaana qurani imechakachuliwa kwa kutosema rangi halisi ya mtume wetu mohamad (pbuh)?
Dunia haiko kama unavyoiona, Kuna agenda ya siri sana, na wahanga wakubwa watu, weusi, lazima uamke ili uione picha kubwa...ukifanya hivyo, utajikuta uko vitani mtu mweusi, karibu tuko hapa maaskari wenzio kukufungua macho yako....uamke kutoka msukuleni. Hapa tunakufunulia mambo yaonekanayo ndivyo hivyo, kumbe sivyo ndivyo.
Lengo kuu la uzi huu, ni kukufikisha mahali ndugu msomaji ukajihoji binafsi, na yale yanayoendelea duniani, kukuchochea we kutokubali mambo kwenye sahani
Kwenye dunia iliyojawa ushahidi wa uongo, kutokuwepo ushahidi ndio inakuwa ushahidi, hii hasa pale watawala, wenye mamlaka juu ya vyanzo vya taarifa, wanapokuwa ndio watuhumiwa wenyewe. Ishu ya Michael Jackson, ni mfano mdogo tu, mjadala ni mpana kuliko hapo.
Mada yetu inahoja Za msingi zifuatazo:
1. Mweusi binadamu wa Kwanza
2. Mweusi mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini
3. mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi
4. Kupitia ubaguzi amejaribu na kufanikiwa mno kufuta ya misingi mikuu iliyowekwa na mtu mweusi, kisiasa, kitaaluma, kitamaduni
5. Ustaarabu wa mweupe leo ni mwigo wa ustaarabu mkongwe zaidi wa mweusi kwa kila namna
* Kama una ushahidi kupinga haya tuyasemayo, tuletee hapa tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie'
Mara unapojua uko vitani, hiyo ni ngazi ya kwanza, Nasi twataka tukufunde jando mwitu, na unyago wa mizimu'
Tukujaze silaha na mbinu katika vita yako, utakapo amka na kujikomboa mtu mweusi dunia utaikomboa'
NB: The things people refuse are the things they should choose' Bob Marley
And remember:
You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time. Abraham Lincoln.
Asanteni
View attachment 805894 View attachment 805895 View attachment 805897
yan mnalinda vitu dhaifu na vilivyo feli?Tuko pamoja bi hemedi, tuko maaskari wako...na ngome ya mababu tutailinda
sasa akati wanafanya hivyo iyo mizimu yenu ilikuwa wap? au nayo haina nguvu za kuwalinda acheni kushikamana na vitu vidhaifu vilivyo feliAsante
na bado wanaendelea kufanya hivyo, chini ya viongozi misukule
na mizimu yenu ilikuwa wap au nayo ilikuwa haijui chochote kuhusiana na lolote?Wali tuletea Bible na Qur'an wakachukuwa zahabu,Pembe za ndovu,Watumwa.
izo habari za kuleta dhana zimimepitwa na wakati hakuna facts mna force mambo ya kufikirika kwa kadri ya hisia na mitazamo yenu hasi ya kujibagua kirangi ili mjikute ni bora kuliko watu wa rangi fulani lakini facts zina watupa nje na kuwaacha mkijenga chuki na jazba isiyo na tija ndani ya mioyo yenu na kwa jamiiAnaitwa Daniel
DANIEL Jepsin, AN ARTIST, CIA and Mossad recruitee, KAMA ALIVYOKUWA BIN LADEN, NA ALBAGHDAD KIONGOZI WA ISISIL SASA
uwezi kuthibitisha jambo kama hilo kwa picha tuu tuletee data za kutosha maswala ya sauti alifiawapi na biological dna zake kinyume na hapo iyo itabaki kuwa ni dhana tena potofu na dhana hiyo inatetewa kwa hoja dhaifu sanawa mwisho, alionekana kwenye thriller, baada ya hapo, michezo ya kijasusi
Michael wa mwisho halisia huyu Hapa
View attachment 806160
kazidi futi ngap? jamani tuache utotoHuyu, sio Michael Jackson
AahView attachment 806162 View attachment 806163 View attachment 806164 jamani, mzungu kabisa huyuuu????? Alafu amezidi urefu????jamaniii
hizo ni stori za kufikirika na kusadikika sio ualisiaMichael aliuliwa mwaka 1984, na stori yote tunayo
Tulishafanya makubwa mno, mweusi ndio rangi ya jua, tuna viini vya melanin, dada tusijipodoe, tuache mikorogo, huu weusi, wazungu wanautamani, hawawezi kuwanao, tumepewa na mungu
ukweli bila data! na ushahidi yani unachukua picha ya 1984 unalinganisha na picha ya 2005 alafu unasema ni watu tafauti kweli nisawa hiyo?Na asiye yaweza, maji marefu, akacheze ufukweni na watoto wenzie....hapa ni kwenye kina cha ukinani, jukwaa la wakweli
yan mnajibagua wenyewe kwa kuamini dhana badala ya uhalisia yani unajenga hisia za kubaguliwa kabla haujabaguliwaHuyu ndio baba wa wale watoto wazungu....kisa ni ubaguzi wa rangi...ona sasa wana Justin bieber wao, wakamuua tupac wakamchomeka Eminem....lakini hawatuwezi....sisi ni watu wa Mungu, mbegu ya asili
ww unazungumzia urefu wa kwenye picha ambazo zimepigwa na wapiga picha tofauti miaka tofauti camera tofauti ivi unaweza ukaujua urefu wa mtu kwa kutumia pichaa bila vipimo?View attachment 806228 View attachment 806229 huyu ndio Michael Jackson halisi wa mwisho, Michael hakuwa mrefu vile...huwezi kudanganya watu wote, siku zote
mpaka mnadanganywa mizimu ilikuwa wap tujibuni ndio mana ss wengine tumeikataa mizimu kwa sababu ni dhaifu na haina msaada wowote kwa binadamu anaye amini katika kutafta super powerMimi nakubaliana na wewe maana wadhungu wametudanganya sana, kiasi ambacho ukweli hau exists kwenye mambo yao yote!
Sasa hivi ni heri kuishi na imani yetu na kikubwa ni kuamini your intuition!
Mengine yote huwa yana ji unfold by itself!
misemo ya watu waliofeli hiyo mtuanae jitambua hawezi kuegemea kwenye hayo maneno ya kufa na ya kukata tamaa