Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #1,241
muulizeni mzee taharuri, ama fantasiamyahudi kaiba stori Za mataifa yote, kageuza location na wahusika
muulizeni mzee taharuri, ama fantasiamyahudi kaiba stori Za mataifa yote, kageuza location na wahusika
Si kweliYes Madam, Mwafrika mwenyewe ndo wa kulaumiwa. Misfortune za mwafrika, kwa namna moja ama nyingine amehusika mwenyewe.
AppreciatedSoma historia ya Waethiopia nje ya Biblia na utaona kuna vitabu kibao vinasema kuhusu Solomon na Queen of Sheba. Hata kwa wale waliobahatika kutembelea Ethiopia kuna mengi sana yanathibitisha uwepo wa historia hii.
Hii inatosha kuthibitisha kuwa Mfalme Suleiman alikuwepo. Habari za Suleiman hazijaandikwa kwenye Biblia tu.
AsanteKuhusu Mossad walivyojipenyeza kwenye mgogoro wa BOKO HARAM na kufanikiwa soma hapo ; Mossad-run training camps on the Plateau?
hahahahah... umenichekesha ndugu joka kubwa jeusiHAHAH... SHAKAABAA.......RIBOBOBOOOOOOOOO
Tupo pamojaKwa wale wenye moyo wa dhati kabisa, wakitaka kurejea ibada yetu asilia, please pm me, kuna semina mwezi wa 8, usikose semina hii yenye maombezi maalumu kuvunja minyororo na kukutoa msukuleni fikra, dini na imani
Tume AmkaAmkeni, amkeni, amkeni
Mwafrika ambaye ajitambuiau mwafrica ambaye hajitambui???
what is this shit????hahahahah... umenichekesha ndugu joka kubwa jeusi
Good boyTume Amka
Ahsante kaka.Good boy
Kweli mkuu haiwezekani kila kitu cha mwafrika ni cha kishenzi au dhambi kukifanya inatakiwa tuamke sasa.Duh... Nimeamin aisee sasa nami naludi kwa speed ya 6 dimension MAKETE nikaamshe mizimu ya babu zangu wote maana nilijua ule ni uchawi kumbe nilikuwa nabugi kuanzia leo assemblies of god nawaachia vumbi waendelee kuwachota sadaka mabwege....lol
KaribuSahihi mkuu hapa nmepata elimu kubwa saana, nngependa hawa jamaa waniunganishe na mm kwenye hii movement.....
Ni dingi yako???View attachment 806224 View attachment 806224 huyu sio Michael Jackson