Tuambie ni ipi chorus bora zaidi ya wakati wote kwenye ulimwengu wa muziki?

Daaa watu ni wabunifu ktk kuanzisha nyuzi asee. Any ways chorus ya Kamanda by Daz Nundaz na chorus ya Usihukumu by Daz Baba.
Kwa mamtoni chorus ya wimbo Changes by Tupac. Ila kiukweli zipo nyingi zaidi ya hizo
 
"Ninapokisakama kipaza kwa hii sauti ala zinaleta mgongano"
Ferouz.
Nipe Tano
 
Hii ni tathmini,kwa wote mlio juu na chini,mc zunguka nyuzi 360 umeona nini,mwana mpotevu rudi kundini-ProfJezzy
 
Muda nlopoteza hawawezi kufidia...Gharama ya maumivu hawawezi kufidia Q chia kwenye Muda na Chid benZ
 
Back
Top Bottom