Ni kweli mkuu...!! Nina mume na watoto wawili. Ananipenda sana hata mungu anajua ila kuna kitu sina..sina kabisa yaaani ila sijui ni mini lakini kihisia sijakamilika.Doooh Pole sana,Stori yako Inaumiza sana kwa kweli, Ishu yako kisaikolojia ni ngumu sana kufutika,Ila uombe Mungu kama Una Mume awe ni mume anayejali au kama ni mpenzi awe yule aliyelelewa kwa upendo na atakayeweza kukufundisha upendo na kukusahaulisha yote.