Tuambie basic need yako ni ipi?yanga ni...

Taito ya sredi yako inafukuza wengi. Neno "YANGA" badala ya "YANGU" limewafukuza wengi. Fanya editing ili watu wenye akili zao waichangie hii sredi.
 
Taito ya sredi yako inafukuza wengi. Neno "YANGA" badala ya "YANGU" limewafukuza wengi. Fanya editing ili watu wenye akili zao waichangie hii sredi.

dah siunajua ma-stress!nimeshinda kurekebisha heading nielekeze bas
 
mh mwe mwe mwe!
mimi above all things I need GOD in all times and all situations! peace to all, joy all times and love to are my needs pia
 
1. pesa
2. pesa
3. pesa
4. pesa

wakati dunia nzima wamelala, huku wakati ndio sasa na St. Paka Mweusi wakitafuta kila njia ya kubomoa ukuta bila mafanikio, mimi natafuta pesa ili mtoto wetu aishi kifahari. au sio charminglady

well said my huz, naona cku zinapungua tu hapa. mwenzio choka mbaya. leo ukija kuniona uniletee sungwi na upuru kha nimezimissjee!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom