Tuambiane ukweli: Liquid Screen Protector ni scam

Tuambiane ukweli: Liquid Screen Protector ni scam

Nakumbuka jamaa mmoja alikuja ofisin anawekea watu mm nikavizia watu wachache nikaenda. Nilimpiga maswali kweli kuhusu hiyo liquid protector. Nakumbuka mwishon alisema... kama ni scratch kweli haiwezi kutokea ila kwenye kudondoka kuzuia kioo kisipasuke siwezi kukuhakikishia hilo maana simi ikidondoka inaweza ikapasuka kioo au isipasuke
 
Mkuu nakwambia mimi wameniwekea na baada ya kumaliza anaigonga gonga simu kwa jiwe!

Na anasema ikipasuka analipa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukikutana na wauza mikanda ya suruali wanakuambia pure leather wana namna wanaukunja na kuuma ukinunua ndio utajua umeliwa. Hata hao wanagonga ki aina waambia wakupe simu yao ugonge wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka jamaa mmoja alikuja ofisin anawekea watu mm nikavizia watu wachache nikaenda. Nilimpiga maswali kweli kuhusu hiyo liquid protector. Nakumbuka mwishon alisema... kama ni scratch kweli haiwezi kutokea ila kwenye kudondoka kuzuia kioo kisipasuke siwezi kukuhakikishia hilo maana simi ikidondoka inaweza ikapasuka kioo au isipasuke
 
Wizi tu,mchina anatengeneza pesa kwa wajinga,naona saizi wametapakaa mjini
 
Sijakataa. Ninakuamini kabisa ila nataka nikuamini kabisa kabisa. Chukua jiwe, weka simu yako yenye glass protector urekodi ukiwa unaigonga halafu tuwekee video hapa. Nitafurahi sana nikiona hivyo, lakini kama ni maneno hata mimi naweza kuandika tena vizuri sana.
Mkuu akiweka video unitag kesho na mimi niweke hiyo ya likwidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata shoka lenyewe linakwisha....
Ndio hapo sasa. Tunalaumu vitu ambavyo usipotunza vizuri hata uweke protector ya chuma mwisho wa siku itaharibika. Kuna uzi humu unasema kuwepo hizo protector na cover ni umaskini. Maana yake ati raha simu kila toleo uwe nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwahi kutumia simu miaka mitatu mfululizo bila glass protector nikaona kama kioo kimechubuka sana maana nimeiangusha mara nyingi sana ila haikuwahi kupasuka nilipoamua kuweka glass protector haichukua hata raundi ndani ya miez 6 simu imepasuka kioo,
nashindwa kuziamini hizo liquid protector hasa baada ya kuuangalia protector inavyowekwa kama hawatakua wanaficha jinsi wanavyoweka basi mda si mrefu biashara yao itakosa wateja
 
Ukifatilia hii liquid protector imeua sn soko la glass protector hivyo kwa kawaida n lazima ipingwe sn maana kuna watu wamepoteza hata ajira. Lakini ukweli n kwamba n muhimu watu wabadilike kuendana na technolojia iliyopo maana hakuna jinsi.
Kuhusu uimara n kwamba ipo vzr tu kutokana na utunzaji wa mtu mwenyewe.

Juzi napita town nikaskia glass protector kwa buku jero nikabandua na kuweka mpya kabisa asante liquid protector
 
Back
Top Bottom