Nakumbuka jamaa mmoja alikuja ofisin anawekea watu mm nikavizia watu wachache nikaenda. Nilimpiga maswali kweli kuhusu hiyo liquid protector. Nakumbuka mwishon alisema... kama ni scratch kweli haiwezi kutokea ila kwenye kudondoka kuzuia kioo kisipasuke siwezi kukuhakikishia hilo maana simi ikidondoka inaweza ikapasuka kioo au isipasuke
Umaskini mbaya sana unanunua simu unataka ukae nayo milele dah, wenzetu wanatengeneza vitu kupiga hela kupitia sisi maskini,sidhani kama mbele wanafanya upuuzi kama huu
Kama hujaweka, Wala usijaribu. Ni fake as hell. Simu yangu imepasuka baada ya kudondoka Chini nikiwa nimeweka hiyo kitu.
Wewe umeweka glass protector kwenye simu yako au na wewe unafanya hii issue pale kariakoo?Ukifatilia hii liquid protector imeua sn soko la glass protector hivyo kwa kawaida n lazima ipingwe sn maana kuna watu wamepoteza hata ajira. Lakini ukweli n kwamba n muhimu watu wabadilike kuendana na technolojia iliyopo maana hakuna jinsi.
Kuhusu uimara n kwamba ipo vzr tu kutokana na utunzaji wa mtu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app