Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,008
- 2,232
😂😂 Milele.sumu haionjwi
😂😂 Milele.sumu haionjwi
Sawa, haijapasuka kwa vile haijafikiwa ile force ya kupasuka... yaani siku inapasuka inakwenda na simuMbona mimi naona iko poa simu yangu uwa naindondosha sana naona kuna tofauti baada ya kuweka liquid protecter
Sent using Jamii Forums mobile app
Haizuii hata scratches mkuu. Mimi niliweka hapa najutia tuIt is obvious. Sad that you believed them. Hiyo kitu sanasana inaweza kuzua scratches tu za hapa na pale ila simu ikidondoka ni lazima kioo kivunjike tu
Rekodi video ukiwa unaidondosha simu yako kama unavyodai.Mbona mimi naona iko poa simu yangu uwa naindondosha sana naona kuna tofauti baada ya kuweka liquid protecter
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaHaijagongwa kiasi cha kupasuka... kisemwacho hapa ni kuwa, zile za kawaida. ikidondoka, ile protector inachukua pressure yote na kupasuka yenyewe... hii liquid, ikifikia kupasuka, inapasuka na simu... INAWEZEKANA SIMU NDO INAGEUKA KUWA PROTECTOR YA HIYO LIQUID PRITECTOR..!!
Duh pole dada
Mkuu tatizo natuma video inakataa kuja!Sijakataa. Ninakuamini kabisa ila nataka nikuamini kabisa kabisa. Chukua jiwe, weka simu yako yenye glass protector urekodi ukiwa unaigonga halafu tuwekee video hapa. Nitafurahi sana nikiona hivyo, lakini kama ni maneno hata mimi naweza kuandika tena vizuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee eti simu ndio inageuka kua protector ya hyo liquid protectorHaijagongwa kiasi cha kupasuka... kisemwacho hapa ni kuwa, zile za kawaida. ikidondoka, ile protector inachukua pressure yote na kupasuka yenyewe... hii liquid, ikifikia kupasuka, inapasuka na simu... INAWEZEKANA SIMU NDO INAGEUKA KUWA PROTECTOR YA HIYO LIQUID PRITECTOR..!!
hata shoka lenyewe linakwisha....Sasa isivunjike kwani ni chuma hicho. Jamani tujitahidi kutafakari kabla hatujalaumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot hiyo video inayogoma kuja.
Tumia web. Achana na App.