Tuambiane huko ulipo bia sh ngapi baada ya Taifa Starz kushinda!

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,319
10,512
Hapa nilipo naona bei ni ile ile japo njemba zinapombeka tuu!

Weita niongezee African fruit nishangilie zaidi maana bia mmegomea agizo!!


Ila kwa ahadi hizi na hamasa hizi soon tutachukua kombe la dunia!!!
IMG-20190324-WA0028.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom