Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Ikiwapendeza moderators, wakusindike na ka life ban usiweze tena kutumia hii id kuingia JF. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hapana mkuu, kuna mada zangu muhimu humu ambazo Nitakuwa nazirudia kusoma ili nikumbushie lessons.. Nitakuwa nazisoma just in case kuna kitu nimekumbuka na kilielezewa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…