Tuacheni utamaduni wa kuzubaa zubaa

Nchi kuzubaishwa na CV ya gwajiboi vina mahusiano gani?
Huyo ndiye mtunga sheria sasa.

Huyo ndiyo "Opinion leader" kwa enzi hizi..., "influencer" ambaye akina Magufuli wasingeamua jambo bila kumsikiliza; huenda hata mama anasikiliza si anasema yeye na Magufuli....

Sasa amekwishasema chanjo ya COVID-19 ni majaribio; tena kazungumzia Bungeni, hata Samia akitumia sauti ya u-malkia, bado kutakuwepo na watu wengi sana watakaomsikiliza Dr Gwaji!

Bado huelewi tu niendelee

Kwa hiyo sijui hilo swali lako unaliona vipi!
 
Lakini mbona huko Mwanza kumezuka mambo ya kitapelitapeli sana enzi hizi?

Namkumbuka yule Bashite na elimu yake
Sasa kuna huyu Gwaji, kumbe na yeye ni kihiyo.

Kuna akina Shigongo, Msukuma; na PhD za maganda ya korosho?...

Tena wote wanajitokeza ghafla karibu kwa wakati mmoja!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom