Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa


Mnafki sana huyu binti.
 
Mama yetu huyu ni Born Again.

inawezekana ameongozana na watu wasiofaaa sitaki kuwataja majina. Hao ndio wamemuharibu akalewa. Pole mama Rudi kwenye misingi yako Mungu ni mwema atafuta hiyo aibu kwenye mioyo ya wote waliyoiona na kusikia issue hii.

Ole wake ampae ndg Yake kileo!!!

Queen Esther


 
Huu sio wajibu wangu pekee.,kabla ya kuniuliza mimi nimefanya nini umewahi kujiuliza wewe umefanya nini..?
Wakati mwingine muwe mnajitahidi kufikiri kwa umakini na kuacha ushabiki, tunazungumza juu ya hatma ya kizazi chetu kimaadili.

Wewe ni mnafki tu kama hao wenzako wa Lumumba.

Wakati CCM mnawatukana viongozi wa Ukawa pamoja na Lowasa ulikuwa wapi kukemea?
 

hayo yaliyotokea ni kwa sababu mama Regina alikua amelewa ??
Kwa hiyo kwa sababu ni born again kisa kanywa Pombe ndio adhabu yake iwe kumdhalilisha kiasi hicho ??
Wewe ni mnafki na kwa comment yako hii inadhihirisha umefurahia hicho kitendo ,uzuri na wewe ni mwanamke ipo siku yatakukuta mbele ya wanao kama kizazi unacho
 

Soma vizuri nilichoandika ndio uhukumu.

Pole sana Mungu ni wa haki. Laana isiyo haki HAIMPIGI mtu.

Queen Esther
 
Kutukana na kudhalilisha watu wazima ni sawa na kula nyama ya mtu. Ukianza huwezi kuacha hata sisi wanaume tunasikitika kusikia vitoto vidogo vikiwatukana watu wazima wenye umri sawa na baba zao na hata kuwashambulia kama walivyofanya kwa Mzee warioba. Vinafanya yote hayo kwa jina la siasa.
 
nilitegemea auanza kwa kuomba msmaha jinsi ulivuokuwa unamtuka dr slaa kwanza ndio uandike hayo...au dr slaa mdogo wako? hajafanana na baba yako? uache unafiki...
 
Ni wakati wa kukemea hayo sasa..,

Katika Biblia tunasoma katika WAFALME juu ya hekima ya Suleiman..alipoambiwa na MUNGU niombe utakacho..yeye (suleiman) akaomba akisema;
"Nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili niwahukumu watu wako, na kupambanua mema na mabaya..."

MUNGU akamjibu akimwambia;
"Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari"

Wakati mwingine unapofika wakati wa kuhukumu ama kukemea jambo watu husita, hupatwa na woga lakini tukumbuke jambo la hakika, YUPO MUNGU.,msimamizi wa kila jambo...Tuamue kukemea UDHALILISHAJI na tuamue sasa.
 
Soma vizuri nilichoandika ndio uhukumu.

Pole sana Mungu ni wa haki. Laana isiyo haki HAIMPIGI mtu.

Queen Esther
Huo upuuzi ulioandika hapo hauna maana tofauti na nlichokisema kwenye post iliyopita

Wewe unataka kujustify nini hapa ..all of a sudden umekua malaika au ??
Comments zako Jamii Forum kwamba hazionekani au
ID yako tu ni uzalilishaji Easther nilyemsoma kwenye vitabu vya dini alikua na hekima
 

Naona zingine ni chuki tu, hakuna haja ya kumshambulia na kumtukana Julie.
 


Wewe!

Una hata kauli ya kutoa onyo?

Amma kwa hakika umedhihirisha kuwa wewe ni mpumbavu.

Ndiyo maana tutakuwacha ulipokuwa unazuwa. Kumbuka!
 
Vijana wa BAVICHA hawamtaki EDO na ndio maana wengi wao hawashiriki katika kampeni za EDO ikiwemo Mdee, na Mnyika na kuna tetesi kwamba wengine wanahama kwenda CCM, ila hiki walichomfanyia mama EDO ni kibaya sana
 

Huna Lolote MNAFIKI Mkubwa Wewe Kwenda Huko. Sasa Kama Unasema CCM Tunakosea Je Unachosubiri Kurudi Huko UKAWA Ni Nini? Tutolee Upuuzi Wako Hapa! Makosa Ya UKAWA Huyaoni Mpaka Haya Ya CCM Ndiyo Unayashikilia Bango Hivi? Mbona Wanawake Wenzako Tena Wengi Tu Hapa Nchini WANADHALILISHWA Kuliko Hata Huyo Mama Regina Na Hatujawahi Kukuona UKITOKA KUWAPIGANIA? au Wewe Hawa Mabinti au Wanawake Wa Hali Ya Chini WANAONYANYASIKA Kwako Hawana UMUHIMU Wowote? Nilikuwa Naambiwa Tu MADHAIFU Yako Ya KIFIKRA Ila Leo Nimeyaamini. Bora Uishi Na Wachawi 100 Kuliko Kuishi Na Mnafiki 1 Kama Wewe.
 

Mimi mwana ccm tena ni kiongozi, tunaposikiliza utenzi wa matusi jukwani huku tunaomba uongozi wa juu kabisa wa nchi, na kutabasamu juu ya tenzi kama hizi, baada ya dakika chache unasema una hofu ya Mungu, binafsi sifurahii, hivi ni kweli hatuwezi kumshinda Lowassa mpaka tumtukane? Ama ushindi wetu utajikita katika kuumwa kwake? Tutafakari, siasa za hovyo na za kutukana wazee ziishie awamu inayoisha!!! Hiki ni kati ya kipindi tulichofanya siasa za hovyo! CCM tuwe mfano, tunaweza kushinda kwa kutumia siasa za kistaarabu kabisa, ili mradi tusiwafanye watu wa darasa la nne ndo great thinker wetu
 

Kaka hata kama unalipwa kwa post zako hili sio la kushabikia ndg
 
Account yako imekua hacked? au umesoma alama za nyakati towards 25th Oct, 2015? I am impressed Juliana Shoza
 
Last edited by a moderator:
Hebu Nitolee Upuuzi Wako Hapa.

...mapovu ni dalili ya kutokuwa na hoja, na watu kama ww mnaoishi kwa kuuza maneno mko wengi ndani ya chama, na Magufuli atalala na nyie mbele, maana mnafikiri kwa kutumia matumbo, stay tuned, ndo MABADILIKO Magufuli anayotaka kufanya kunyosha chama, siasa za kutukana wazee ili mpate ukuu wa wilaya zama zake zimekwisha #HapaNiKaziTu , nidhamu ndio Ushindi, shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…