Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu acha kulialia tafuta HELA unamlalamikia NEHEMIA kwani yeye ndio kawasababishia uMASKINI watanzani? Tatizo ccm
 
Naona umeamua kumchonganisha Mhe. Rais na Msechu kwa kusema Mhe. Rais anamuonea wivu???

Pili Mimi sikumsikia Mhe. Rais akitaja jina la Msechu. Kama kuna Ma CEO wengi wanalipwa hivi, ni kwanini kila mtu kamngangania Msechu??

Queen Esther
Ni kwasababu huyo Mchechu mlianza kumjadili humu kwa kumwandikia uzi mara nyingi tu...

Na huyu kada wenu HAMY-D ndiye kiongozi wa kumpandikizia majungu Mchechu humu ndani.. Alafu ni coincidence kwa Mh. Rais kuutaja mshahara wa Mchechu direct au alikuwa anamlenga yeye?? Maana makada wengi sana humu mulimshambulia sana huyu bwana
 
Tuulizane, Je alijipangia mshahara wake mwenyewe au walio mwajiri ndio walimshawishi aachane na kazi yake yà zamani kwa kumwahidi kumlipa hicho kiasi cha fedha?

Je, 35 million ni Net or Gross take home yà mshahara wake?

Je, huyo Jamaa anayebomoa nyumba za watu kila siku analipwa kiasi gani kwa mwezi ukilinganisha na bwana mchechu anayejenga New Dubai in Kawe Dar-es-salaam?

Wacheni majungu.
 
Kwa hiyo unataka watakaokuwa kukaa hizo nyumba za Kawe watoke Ulaya???! Umesahau kirefu cha NHC.

Kama apartment moja ya vyumba viwili ni milioni 350 hapo hujaweka RIBA ya Benki. Basi hizo nyumba sio za watanzania ni za Wa huko Ulaya!!!!

Pitia NHC wakupe financial statement yao. Mpaka sasa wana mikopo Benki na madeni kiasi gani???

Sio kesho usikie NHC imefilisika uanze maneno. Bora record ziwekwe wazi mapema mwisho Wa siku wasije wakasema Serikali imeua NHC.

Waziri Mhe. Lukuvi weka mambo ya NHC wazi na kwenye rekodi SAWASAWA; ikiwezekana peleka bungeni kabisa.

hawa watanzania vigeugeu siku moja watasema wewe na Rais mmefilisi au mmeiua NHC kumbe mmeikuta na MADENI tena makubwa makubwa mpaka puani!!!

Queen Esther


ila linajenga majumba kama zile ramani za kawe ulaya ulaya
 
Mkuu biashara ya Majengo sio sawa na Genge la Nyanya kwamba ukifungua TENGA tayari unapata Hela
 
Kwasababu ni rafiki yako nenda kamuulize MADENI makubwa aliyonayo anayalipaje???

Queen Esther

 
Mkuu mbona povu linakutoka kama unasukutua na omo....kwani huo mshahara wa Mchechu wewe unafaidika nao vipi...au wewe ni shemeji yako.....let us mind our own bussness....
Ndugu kwanza sina ukaribu nae kwa namna yoyote ila namSupport kama Mtanzania mwenzangu anaeThubutu kufanyakazi ninachopinga humu wengi wanaendekeza uSWAHILI
 
Kwasababu ni rafiki yako nenda kamuulize MADENI makubwa aliyonayo anayalipaje???

Queen Esther
Hilo swali ni vizuri mkawashauri wabunge wenu wa CCM waache kupiga makofi tu kupitisha bajeti ila wambane Waziri wa Ardhi na Makazi wajue Shirika litarudishaje hayo madeni...
 
Adui wa Mtanzania ni mtanzania mwenyewe Povu wanazomwaga humu wangemwaga kwa MKAPA na JK waliotia HASARA hii Nchi lkn hadi leo wanalipwa miPESA kibao waswahili wako kimya wanamuandama Mchechu
 
Adui wa Mtanzania ni mtanzania mwenyewe Povu wanazomwaga humu wangemwaga kwa MKAPA na JK waliotia HASARA hii Nchi lkn hadi leo wanalipwa miPESA kibao waswahili wako kimya wanamuandama Mchechu
Sijui kwanini Mheshima Rais hayo majipu anayosema anayatumbua hatuoni unafuu wa maisha huku mtaani.
 
Unazungumzia NHC kudaiwa kwanza nikuulize umewahi kufanyabiashara hata ya Maandazi....!!!
 
Hayo madeni makubwa msiishie kubana poa... Hebu wekeni hapa financial statement zao..

Wewe si umepita huko NHC.... Tuwekee hapa tujadili...

Alafu mbona huyo tunayemwita Rais sasahivi ameacha madeni makubwa sana wa wakandarasi?? Mbona alitununulia meli mbovu kwa billioni 8 ambayo wala haijafanya kazi na leo hii inapelekwa huko Rufiji?? mbona yeye leo ni Rais??
 
Kwanini wale Wa kugonga meza na kutoka nje wasifanye hivyo ili tujue wana uchungu na nchi hii na sio kwa maslahi yao binafsi na kutaka kuuza sura. Tena bunge lililopita zaidi Wa wabunge wakususa wameisifia sana NHC. Nikamkumbuka Spika mstaafu Madame Makinda na pesa za kisemeo!!!!!

Queen Esther

Hilo swali ni vizuri mkawashauri wabunge wenu wa CCM waache kupiga makofi tu kupitisha bajeti ila wambane Waziri wa Ardhi na Makazi wajue Shirika litarudishaje hayo madeni...
 
Mwambie huyo mchechu wako asepe zake huko hatumwitaji
 
I can do all things..... !!!!!

Queen Esther

 
Kama waliisifia basi ni vizuri sana... Basi nyie msioisifia ndio muulize hayo maswali na sio kusema ndio...
 
Haya mwambieni mheshimiwa rais ampige chini Mchechu kwasababu ya milioni 35 tu kisha amtafute Mzungu azibe nafasi yake huku akilipwa milioni 70 kwa mwezi,maana hii ndiyo mentality ya Mbongo kuchukia mafanikio ya Mbongo mwenzie,lkn kwa wageni wala hatuna neno.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…