dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Mwananchi wa kawaida yukojeLinajenga nyumba nzuri kama zile za Kawe umeshajaribu kufuatilia ni watu gani wanaishi kwenye hizo nyumba?Mwanachi wa kawaida hizo nyumba za NHC atabaki kuzisikia na kuziangalia tu.