Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

Status
Not open for further replies.
Adui wa mTanzania ni Mtanzania mwenzake
 
Hawa ma DG wengine wa umma wanalamba hizo hizo 35M and above!!na bado wana other benefits kwa mwez znafikia hadi 10M....nenda private orgs kama TBL..VTL.. Alaf angalia ma Managers au head of departments wanalipwa ngapi?hadi 60 per month.. Kwaio kama mnataka NHC iendelee na mumuajiri DG ambae atalipwa kutokana na utendaj wake wa kazi Msechu is the person..ila kama mnataka mtu ambae mumlipe million 5 akubali huku anawaibia mil100 kwa mwezi go for another options na shirika litakufa in one year
 
Kujadili mishahara ya watumishi Tanzania ni upotezaji wa muda sababu hakuma mwenye uhakika wote huwa mnaleta story mlizosikia tu na kila mtu anakuja na kiasi anachohisi.
 
Bora arudi akaungane na wenzio huko alikotokea hako Ka mil 30 atuachie. Kama wenzie wapo kwenye 75mil achape lapa haraka.

Hivi alitoka wapi? si arudi huko akachukue hiyo hela zaidi ya 70M!!!!!!!!!!!!!!
 


Mbona Makocha wa Taifa Stars wanalipwa mishahara mikubwa na tunaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu hawasemi? Ni kwamba mifumo ya upangaji na usimamiaji mishahara bado haijawekwa vizuri, Tofauti ni kubwa mno ukilinganisha na watumishi wa kawaida kama walimu, wahandisi , madaktari n.k!
 
Mbona Makocha wa Taifa Stars wanalipwa mishahara mikubwa na tunaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu hawasemi? Ni kwamba mifumo ya upangaji na usimamiaji mishahara bado haijawekwa vizuri, Tofauti ni kubwa mno ukilinganisha na watumishi wa kawaida kama walimu, wahandisi , madaktari n.k!
 
Kwahiyo wa TANAPA alipwe bilioni ngapi? Maana uchumi unategemea sana utalii
 
Bado hili lijamaa linalipwa hela ndogo sana kulinganisha na kazi linazo fanya hata wakilipunguzia mshahara ww unaelalamika hutafaidika na chochote mbona wale watu kumi waliiba Bilion mia mia tatu?? hapo tungenunua boing ngapi????? Bado hilo jamaa likikaa kikao kimoja tu cha bodi pale serena hotel kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa nane mchana linavuta Million moja na nusu
 
sera ya HHC sio kutengeneza faida ila ku supply afforadble accomodation kwa wabongo. Ajabu hizo affordable ndio wanakaa wahindi. Mimi hata angelipwa ngapi sijali ali mradi aliyemwajiri aliridhia. Je rais wetu amepunguza wa kwake aliourithi toka kwa mstaafu?
 
Wadau embu tuweke hisia za wivu na chuki pembeni na tuijadili mada katika sura halisi.....
TUANGALIE KUWA HUYO DG ANALIINGIZIA TAIFA KIASI GANI CHA SHILINGI KAMA FAIDA KUPITIA UTENDAJI WAKE.......na kwa kipindi cha utumishi wake ameliinua shirika kwa kiwango gani....na mpaka sasa hivi hilo shirika linaendesha miradi ya kiasi gani nchi nzima.....alafu ndio tuje kwenye kiasi anacholipwa huyo mwenye mamlaka ya kuyasimamia hayo yote....je kina stahili na kile tunachokiona........

Vnginevyo huu mjadala utakuwa kama wa mashangingi ya magomeni au ilala......

Hata mimi nisingekubali kusimamia mradi wa mamilioni ya shilingi alafu nilipwe vijisenti.....
 
...yani nimeishia tu kukutukana!
 
sema ni wapi
 
Sina sababu yoyote ya kuongopa mkuu.
Mkuu nakuhakikishia... laiti ungejua kuna watanzania wanalipwa zaidi ya mchechu usingeshangaa. Tena ni mabosi wa mashirika ya uma.... Mchechu anazungumzwa sana kwa kuwa mshahara wake umewekwa wazi afu ikajulikana ni team Edoboy.
 
wengi wanao ponda huo mshahara nakulialia hapa na kusaga meno ni wivu tu umewajaa hata huyo aliye question kuhusu huo mshahara,hii nchi inawatu wanajiita wasomi lakini hawajui kwanini wao ni wasomi,hivi mnao lalama mnajua maana ya professionalism??,mnajua kwanini mtu unaitwa professional?utasikia lipumbavu linalalamika eti daktari anakazi kubwa mara mkufunzi wa chuo hafikii nusu ya huo mshahara,so whom to blame you numb??..!!Ndomana investors walisema watanzania hawaajiliki nikwasababu hii tu hawajui kwanini walisoma wakapata hizo degree na PHD,kazi yao kubwa majungu..!!
 
ila linajenga majumba kama zile ramani za kawe ulaya ulaya
Linajenga nyumba nzuri kama zile za Kawe umeshajaribu kufuatilia ni watu gani wanaishi kwenye hizo nyumba?Mwanachi wa kawaida hizo nyumba za NHC atabaki kuzisikia na kuziangalia tu.
 
Mkuu nakuhakikishia... laiti ungejua kuna watanzania wanalipwa zaidi ya mchechu usingeshangaa. Tena ni mabosi wa mashirika ya uma.... Mchechu anazungumzwa sana kwa kuwa mshahara wake umewekwa wazi afu ikajulikana ni team Edoboy.
Haaa...basi chanzo cha kila kitu ni hapo kwa Edo. By the way, mie concerned yangu ilikuwa kwa jamaa alivyoona ni powa tu Mchechu kula huo mshiko maana NHC ina perform vizuri. Nikadhani kuna mashirika yana mchango mkubwa kwa Taifa kuliko NHC, hivyo kwa hoja hiyo si walipaswa kulipwa 35+?
 
Hivi naomba niulizie kwa huyo mchechu ,wahindi ndio watu special kwenye shirika lenu kupanga?
Na wanatumia kigezo gani kupata nyumba zote za mijini? Mbona sisi hatupati?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…