Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Ni sahihi mkuu ukikaa ukiangalia watumishi wake wanasikitisha kabisa ukiangalia walimu,askari wetu,na kada nyingine za kati wanaishi maisha ya kusikitisha sana ila naamini ipo mwanga utapatikana dhidi yao,kuna wahuni wachache wanakwapua mabilioni ya fedha hakuna la maana linalofanyika dhidi yao wanaoumia ni wengi kwa ajili ya wachache ukiangalia tulipo sasa ndio inasikitisha kukuta watu wameamua kuitwa chawa kupata nafuu ya maisha kiukweli hali ni mbaya na inasikitisha Mwenyezi aingilie kati tu
[/QUOTE
Mpumbafu mmoja wewe. Kunakipindi watumishi wameishi maisha magumu Kama Cha magufuli. ? Taahira mmoja wewe usitukumbushe huyo kichaa Mungu azizidi kunchoma kabisaaa. Dah watu tulitaka kuacha kazi afu unasema ujinga gani wewe tahira mmoja.
 
Si tu Nchi imegawanyika, bali pia Nchi inaelekea shimoni.
Kilichopo saa hizi, wanakopa sana, uwezo wa kusimamia matumizi ya fedha hizo hawana, MAJIZI yapo mengi na uchafu mwingine mwingi unaofanana na huo vimejaa Nchini.
 
Acha kudanganya wewe SSH kapandisha mishahara na madaraja kwa watumishi huyo mtumishi anayeishi maisha magumu ni nani? Ukitaka waishi kama wabunge?
Achana nae huyu taahira . Ajui magufuli alichotufanya
 
Si tu Nchi imegawanyika, bali pia Nchi inaelekea shimoni.
Kilichopo saa hizi, wanakopa sana, uwezo wa kusimamia matumizi ya fedha hizo hawana, MAJIZI yapo mengi na uchafu mwingine mwingi unaofanana na huo vimejaa Nchini.
Kwahyo tukusaidieje?
 
Wew ambaye hutumiki umefanya kipi sasa kwani mpaka bei ya unga, sukari na nyama inakushida baada ya mungu wenu kufa
Mkuu achana na huyu taahira . Hawa wanachuki binafsi na Samia. Utafikiri wakati wa magu tulikuwa tunaishi peponi kumbe matatizo yalikuwepo Tena ukaibuka msamiati wa "vyuma vimekaza"
 
Si tu Nchi imegawanyika, bali pia Nchi inaelekea shimoni.
Kilichopo saa hizi, wanakopa sana, uwezo wa kusimamia matumizi ya fedha hizo hawana, MAJIZI yapo mengi na uchafu mwingine mwingi unaofanana na huo vimejaa Nchini.
Kweli kabisaaa!
100% true said mkuu!
 
Ikitoka ccm, kuundwe serikali ya mseto kwa kuchagua watu makini kutoka vyama tofauti. Na baada ya muda fulani, itengenezwe Katiba yenye maslahi na Taifa.

NB: Hofu yangu ni moja tu; wanasiasa ni vigeugeu, wanafiki, wabinafsi, na hawaaminiki. Wakionja tu utamu wa madaraka, na wenyewe wanageuka kuwa kama wale waliopita.

Na tatizo hili ni sugu kwenye nchi zetu nyingi za Kiafrika. Mifano ni mingi sana. Kuanzia Afrika ya Kusini na ANC yao, Uganda na Museven, Senegal na Mark Sally, Ivory Coast na Ouwattara, nk.
Kwa mujibu wa katiba yetu, ushindi wa uchaguzi ni by a simple majority. Hata kama tuko watu milioni 60, wakajiandikisha kupiga kura watu milioni 30, siku ya kupiga kura wakajitokeza, watu 3 tuu , mmoja akapata kura 2, mwingine kura moja, huyo mwenye kura mbili ndie mshindi halali!.

Bila ya mabadiliko ya Katiba na Sheria, CCM itatawala milele.
p
 
Mkuu achana na huyu taahira . Hawa wanachuki binafsi na Samia. Utafikiri wakati wa magu tulikuwa tunaishi peponi kumbe matatizo yalikuwepo Tena ukaibuka msamiati wa "vyuma vimekaza"
Vyuma vilikaza kwa wezi na wabadhirifu wa mali za umma pamoja na mahawara zao kama nyinyi ambao sasa mnamsifia mama kwa mgongo wa chupa huku mkiifilisi nchi.

Ndio maana Samia sasa anawaita "Stupids"

Subirini mjadala wa ripoti ya CAG ufike ndio mtajua kwamba watu tuna hadira na nyinyi kiasi gani!
 
CCM ni mzoga unaobebwa na Mapolisi.
Mapolisi wenyewe wanalia kila siku njaa ukiangalia makazi yao kama makazi ya panya alafu ikifika uchaguzi wanawasaidia watu wasio wakumbuka. Nikiangaliaga kada zenye makazi duni naamini yakwanza itakua askari
 
Vyuma vilikaza kwa wezi na wabadhirifu wa mali za umma pamoja na mahawara zao kama nyinyi ambao sasa mnamsifia mama kwa mgongo wa chupa huku mkiifilisi nchi.

Ndio maana Samia sasa anawaita "Stupids"

Subirini mjadala wa ripoti ya CAG ufike ndio mtajua kwamba watu tuna hadira na nyinyi kiasi gani!
Samia hana la kufanya usijipe moyo hawezi lolote
 
Najua Mtanikumbuka Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri
By
Mzilankende
Ngosha
Chuma
Jiwe
 
Shida yenu nyie mmezoea kudanganywa raisi anajenga madarasa mikoani, maji yanatoka, umeme upo kila ukiamka oh miradi imesimama oh sijui nn? Mkijibiwa mmnakimbilia ushoga na ujinga ujinga na ushamba wa kisukuma hapa!
Kosa la wale wahariri ni nini mpaka mkaanza kuwatukana na kuwazushia wazee wa watu?.?.
Asantee mkuu. Hawa watu wamechanganyikiwa hakika na kasi ya mama samia.mwanzoni walisema miradi imetelekezwa. Sasa wanaona inajarbia kukamilishwa wanabadili gia angani . Afu wanataka na sisi wenye akilizetu tunao 0na yanayofanywa na mama eti na sisi tuungane nao kmponda mama. Kwangu hapana aisee.
 
Mapolisi wenyewe wanalia kila siku njaa ukiangalia makazi yao kama makazi ya panya alafu ikifika uchaguzi wanawasaidia watu wasio wakumbuka. Nikiangaliaga kada zenye makazi duni naamini yakwanza itakua askari
Kweli kabisa.
 
Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
  • Sukari @kg 3,200/=
  • Mchele @kg 3,200/=
  • Sembe @kg 1,700/=
  • Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
  • Mkaa gunia @ 70,000/=
  • Maharage @kg 4,000/=
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!

Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.

Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!

Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!

Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.

Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.

Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.

Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
  • Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
  • Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
  • Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
  • Bwawa la umeme la JNHP.
  • Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
  • Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
  • Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
  • Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
  • Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
  • Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
  • Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
  • Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
  • Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
  • Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
  • Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
  • Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
  • Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
  • Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Crap mpya ya kisukuma
 

Ze Gorrila Magilla!Kama CCM tu.

Ni hivi, dhalimu ni dhalimu hata ungekesha hapa jukwaani kumtetea. Unadhani hatujui tofauti ya dhalimu na hayo uliyolist hapo juu? Na kwa yako taarifa haitakaa itokee nchi hii kutawaliwa tena na mshamba wa style ile.
Tatizo ni lilelie....Vita ya matabaka na Vibaraka wa mabeberu kufinywa mirija yao. Huwa wanafikiri kwa kutumia mbinu za kutenganisha na kuwabandika wenzao lebo na kuwaita na hata kuwafananisha na wanyama, ndio suluhu, wakishindwa hoja huja na viroja. Hii ni hatari kwa Taifa letu. Tusikubali kuwapa nafasi katika Tanzania na Afrika tunayoitaka, yenye Amani na Upendo.

Wacheni Ugaidi.
 
Mimi na familia yangu tumeamua tukujengee mnara hapahapa ndani..🗽
 
Back
Top Bottom