Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Acha upumbavu,ifike wakati muelewe kwamba kuwa CCM sio hoja ya kuwahusisha wote na huo upumbavu unaoendelea!

Sio kila mwana CCM anafurahia kinachoendelea kwa sasa!
Ndio maana hata upinzani wa kweli uko huko huko ndani ya CCM na sio huku kwa walambishwa asali.

Ndio sababu unaona huyo mama haishi panguapangua kwa hifu aliyonayo sababu anaujua ukweli.

Watanzania wengi mmelemazwa na huu upumbavu wa kuona kila mwanachama anashiriki ujinga wote wa chama chake ilhali sivyo inavyokuwa.

Eti upinzani wa kweli uko CCM, hao wapinzani wa kweli wa CCM ni hatua gani wamechukua kutokana na hiyo ripoti ya CAG.
 
Ulitegemea upinzani imara utoke wapi kwa mungu? Ulipozuiliwa kufanya shughuli zake kihalali wewe si ulikuwepo na ulishangilia kwamba ni sawa tu kwakuwa tunajenga madaraja? Ulitegeme upinzani utoe wapi huo uimara sasa?
Wabunge wa upinzani walipo nunuliwa kwa kilichoitwa kuunga mkono juhudi wewe ulikuwepo na ulishangilia kwakuwa tunajenga viwanja vya ndege vijijini kwetu huo upinzani uimara wautoe wapi sasa
Viongozi wa upinzani wamepigwa risasi hadharani kama wezi, wameswekwa ndani kwa kesi za kuogofya kabisa nyie mlikuwa mnashangilia leo unataka CHADEMA , ACT na wengine wawe imara kwakuwa mungu kawapoka mate?
Wewe na wenzio wa legacy hamna lolote jema kwa TANZANIA ni mkate tu kuponyoka
MNATAKA UPINZANI IMARA LEO?
Na kwa sasa tangu mmeruhudiwa mikutano ni kipi positive mlichokifanya zaidi ya kuendelea kupigana na mfu Magufuli?

Ni kipi mnekifanya cha maana zaidi ya kuungana na kundi hilo hilo la wauwaji na kuendelea mapambio?

Kipi kimefanyika tangu mmesema demkrasia imerudi?

Nani alikwambia wananchi wanakula demokrasia?

Acheni kurtumika
FB_IMG_1677677772781_remastered.jpg
 
Ni mpumbavu mmoja kama wewe tu!
Ni mbinafsi mmoja tu kama wewe!
Ni mjingamjinga mmoja tu kama wewe!
Ambaye wajati tunaangalia yaliyoko mbele yetu,wewe bado umeshikilia koleo pembeni ya kaburi la mfu aliyeondoka Duniani miaka miwili iliyopita!

Ambae wewe Kinoamiguu mjinga ambae hata ripoti ya CAG bado unataka ukasome na Marehemu Magufuli!

Tatizo lako ni msongo wa mawazo uliopitiliza,....

Ninas8kitika kuchangia uraia na wapuuzi kama wewe usiyejitambua hata kujua ulikuja Duniani kufanya nini?
Sawa mm mpumbavu mbona wewe hutuoneshi vile viwanda mlivyosema vimejengwa na mkasifia kwelikweli? Taja vilipo
 
Hawara zako wanapata za kukuhonga kwa sasa hamna tatizo kwako!

Vumilia kijiwe hadi 2025 labda watakusaidia maisha tena!

Mimi huwa ninawavumilia wajinga wale tu wanaojitambua na kuacha personal attacks.

Bado hujapanick, utapanick sana dogo. Hakuna mshamba wa aina ile atabebwa tena na vyombo vya dola kukaa madarakani.
 
Ni mpumbavu mmoja kama wewe tu!
Ni mbinafsi mmoja tu kama wewe!
Ni mjingamjinga mmoja tu kama wewe!
Ambaye wajati tunaangalia yaliyoko mbele yetu,wewe bado umeshikilia koleo pembeni ya kaburi la mfu aliyeondoka Duniani miaka miwili iliyopita!

Ambae wewe Kinoamiguu mjinga ambae hata ripoti ya CAG bado unataka ukasome na Marehemu Magufuli!

Tatizo lako ni msongo wa mawazo uliopitiliza,....

Ninas8kitika kuchangia uraia na wapuuzi kama wewe usiyejitambua hata kujua ulikuja Duniani kufanya nini?
Sawa mm mpumbavu mbona wewe hutuoneshi vile viwanda mlivyosema vimejengwa na mkasifia kwelikweli? Taja

Hawara zako wanapata za kukuhonga kwa sasa hamna tatizo kwako!

Vumilia kijiwe hadi 2025 labda watakusaidia maisha tena!

Mimi huwa ninawavumilia wajinga wale tu wanaojitambua na kuacha personal attacks.
Hovyo! Sasa huu sindo msongo wenyewe wa mawazo? Badlands ya kujibu hoja unaleta picha za kuharir ili iweje sasa?
 
Eti upinzani wa kweli uko CCM, hao wapinzani wa kweli wa CCM ni hatua gani wamechukua kutokana na hiyo ripoti ya CAG.
Ndio sisi mnaotuita Majina mabaya,na wengine ndio hao wanaosukumizwa nchi za nje huko mbali ili majizi yaendelee kuiba!
 
Teh teh teh!Hata uandike matakataka gani hautaeleweka.Wewe na vimbwenerehi wenzako wakati wa "maliyemu" aka mwendazake,mlikuwa mnaandika lugha za kukirihisha mkifurahia utoto wake.Sasa leo uje kwa kujidai unalalamika unadhani nani atakuunga mkono.Ukiwa lijinga usisahau hata nyayo zako.Kufilieni mbali na chuki zenu zisizo mashiko kwa Samia.Kufaaaa...kimbwenerehi mmoja!
 
Na kwa sasa tangu mmeruhudiwa mikutano ni kipi positive mlichokifanya zaidi ya kuendelea kupigana na mfu Magufuli?

Ni kipi mnekifanya cha maana zaidi ya kuungana na kundi hilo hilo la wauwaji na kuendelea mapambio?

Kipi kimefanyika tangu mmesema demkrasia imerudi?

Nani alikwambia wananchi wanakula demokrasia?

Acheni kurtumikaView attachment 2593097
Sasa ulitaka wajenge mabarabara huku watu wanapotea?
Hao wabunge unaowalalamikia kila siku si walichaguuliwa kidemokrqsia? Kwahiyo unataka wawatee wananchi gani kama huamini kwenye demokrasia kama mchakato wa kuwapata?
 
Asante kaka tuko pamoja,Tanzania ni tatizo kubwa ukiiongezea viongozi wa aina tulio nao!
Ni sahihi mkuu ukikaa ukiangalia watumishi wake wanasikitisha kabisa ukiangalia walimu,askari wetu,na kada nyingine za kati wanaishi maisha ya kusikitisha sana ila naamini ipo mwanga utapatikana dhidi yao,kuna wahuni wachache wanakwapua mabilioni ya fedha hakuna la maana linalofanyika dhidi yao wanaoumia ni wengi kwa ajili ya wachache ukiangalia tulipo sasa ndio inasikitisha kukuta watu wameamua kuitwa chawa kupata nafuu ya maisha kiukweli hali ni mbaya na inasikitisha Mwenyezi aingilie kati tu
 
Mimi nadhani tutetee wananchi bila kulinganisha Awamu za utawala wa CCM .

CCCCCM ni Ile Ile, japo nakubaliana na mwandishi kuwa upinzani wa Kweli utatoka CCM.

Itoshe kusema kuwa Hali ya wananchi ni ngumu, Bei za Bidhaa zipo juu,nk nk.

Tukifika hapo tutaweza kukwepa propaganda za kuacha kushughulika na hoja za wananchi wakijificha kwenye kichaka Cha mapungufu ya Magu.
 
Ni sahihi mkuu ukikaa ukiangalia watumishi wake wanasikitisha kabisa ukiangalia walimu,askari wetu,na kada nyingine za kati wanaishi maisha ya kusikitisha sana ila naamini ipo mwanga utapatikana dhidi yao,kuna wahuni wachache wanakwapua mabilioni ya fedha hakuna la maana linalofanyika dhidi yao wanaoumia ni wengi kwa ajili ya wachache ukiangalia tulipo sasa ndio inasikitisha kukuta watu wameamua kuitwa chawa kupata nafuu ya maisha kiukweli hali ni mbaya na inasikitisha Mwenyezi aingilie kati tu
Ni lini hao watumishi walipata ahueni?
 
Uko sahihi,tatizo ni kwamba sasa hivi hakuna upinzani makini nchi hii.
Angalia jana ACT wamezuiwa maandamano yao,lakini wakachukulia poa as if hakukuwa na hoja makini.
Basi kama hakuna upinzani makini na wewe hutaki kuwa mpinzani makini kaeni mtulie ccm iendelee kula keki ya taifa.
 
Ni sahihi mkuu ukikaa ukiangalia watumishi wake wanasikitisha kabisa ukiangalia walimu,askari wetu,na kada nyingine za kati wanaishi maisha ya kusikitisha sana ila naamini ipo mwanga utapatikana dhidi yao,kuna wahuni wachache wanakwapua mabilioni ya fedha hakuna la maana linalofanyika dhidi yao wanaoumia ni wengi kwa ajili ya wachache ukiangalia tulipo sasa ndio inasikitisha kukuta watu wameamua kuitwa chawa kupata nafuu ya maisha kiukweli hali ni mbaya na inasikitisha Mwenyezi aingilie kati tu
Acha kudanganya wewe SSH kapandisha mishahara na madaraja kwa watumishi huyo mtumishi anayeishi maisha magumu ni nani? Ukitaka waishi kama wabunge?
 
Acha upumbavu,ifike wakati muelewe kwamba kuwa CCM sio hoja ya kuwahusisha wote na huo upumbavu unaoendelea!

Sio kila mwana CCM anafurahia kinachoendelea kwa sasa!
Ndio maana hata upinzani wa kweli uko huko huko ndani ya CCM na sio huku kwa walambishwa asali.

Ndio sababu unaona huyo mama haishi panguapangua kwa hifu aliyonayo sababu anaujua ukweli.

Watanzania wengi mmelemazwa na huu upumbavu wa kuona kila mwanachama anashiriki ujinga wote wa chama chake ilhali sivyo inavyokuwa.
Nasema hivii kaeni kwa kutulia ccm iendelee kutawala maana upinzani makini hakuna na wala wewe hutaki kuwa mpinzani makini msitupigie makelele sisi tupo bize kulamba asali.
 
Punguza jazba utakufa mapema na stress fanya kazi siasa wachie wana siasa
 
Ndio sisi mnaotuita Majina mabaya,na wengine ndio hao wanaosukumizwa nchi za nje huko mbali ili majizi yaendelee kuiba!
Walivyokuwa hapa nchini walizuia wizi gani zaidi ya kuhakikisha hakuna uhuru wa vyombo vya habari, na bunge kibogoyo ili waibe bila kutajwa?
 
Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
  • Sukari @kg 3,200/=
  • Mchele @kg 3,200/=
  • Sembe @kg 1,700/=
  • Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
  • Mkaa gunia @ 70,000/=
  • Maharage @kg 4,000/=
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!

Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.

Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!

Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!

Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.

Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.

Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.

Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
  • Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
  • Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
  • Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
  • Bwawa la umeme la JNHP.
  • Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
  • Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
  • Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
  • Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
  • Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
  • Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
  • Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
  • Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
  • Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
  • Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
  • Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
  • Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
  • Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
  • Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Pole kwa makasiriko ila hii yote ni kuwa huna mrija wa kulambia asali + Usukuma gang
 
Back
Top Bottom