Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Mwisho wa aibu unaoutaja ni upi mkuu?

Kwamba ubadhirifu uliotajwa na CAG ni wa Sukuma Gang au Msoga Gang?

Kama vile unateseka sana na kutumbuliwa vile?
Mawazo yako ni sawa na Cheti feki mmoja hivi.
Ndio sababu hujitambuwi tunaongelea mambo tofauti na tena nyeti na muhimu!wewe umekalia Sukuma Gang!
Bora mwenye cheti feki bado anakula maisha kuliko aliyemtumbua kisha na yeye amekufilia mbali kizembe kabisa
 
Ndio sisi mnaotuita Majina mabaya,na wengine ndio hao wanaosukumizwa nchi za nje huko mbali ili majizi yaendelee kuiba!
Kwani wamelazimishwa kwenda huko nchi za nje? Si mbaki muungane muitendee haki hiyo riport ya CAG? Acheni unafiki nyie machawa. Wakati taifa likinajisiwa na huyo Mwendakuzimu mbona hatukuwaona mkimpinga aache vitendo vya kupoka haki za watu?
Uchaguzi umeharibiwa huku mkinengua na kuimba mapambio ya kushinda kwa kishindo halafu Leo hii badala ya kuwalaumu wabunge wa chama chako unailaumu CDM kwa kushindwa kujadili ripoti ya CAG?
 
Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
  • Sukari @kg 3,200/=
  • Mchele @kg 3,200/=
  • Sembe @kg 1,700/=
  • Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
  • Mkaa gunia @ 70,000/=
  • Maharage @kg 4,000/=
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!

Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.

Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!

Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!

Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.

Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.

Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.

Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
  • Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
  • Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
  • Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
  • Bwawa la umeme la JNHP.
  • Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
  • Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
  • Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
  • Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
  • Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
  • Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
  • Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
  • Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
  • Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
  • Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
  • Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
  • Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
  • Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
  • Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Umeandika Uzi mrefu kwelikweli ,Ila lengo lako kubwa ilikua kumtetea mwenda zake dhidi ya maovu aliyofanya wakati wa uhai wake.kumbuka huyo ni binadamu aliyezaliwa na mwanamke hivyo hawezi kuwa mkamilifu hata umpendeje.kuhusu mengine uliyoandika hujatoa njia mbadala ya namna ya kuyarekebisha umeishia kulalamika tu .sasa ilituyarekebishe kama taifa Nini kifanyike?!.
 
Hakuna mafanikio kama wasimamia katiba ni hawa hawa!
Hata katiba iliyopo hakuna mahali imeruhusu wizi wa mali za umma,hakuna mahali imeruhusu ubadhirifu na ufisadi.
Tatizo liko kwa wasimamia sheria,hasa pale mtu kama raisi anapotoa kauli tata za "kila mtu ale urefu wa kamba yake"

Katiba mpya ni takwa kuu la wanasiasa na sio hitaji kuu la wananchi.

Katiba mpya inayotafutqa ni ile itakayompunguzia rais madaraka!

Na wapinzani wengi wanaitaka hiyo kwa kuhisi huenda ikawapa upenyo na wao kuingia kuikomba hazina ya nchi.

Wanasisasa wa kiafrika ni wabaya kuliko hata majambazi wa silaha,maana hawana huruma nawananch maskini bali wamejaa ubinafsi na kuwaona wananchi kama misukule yao.

Kenya wamebadili katiba mara kadhaa na bado haijawaridhisha wanasiasa mpaka sasa wanalilia mabadiliko mengine kupitia BBI.

Mimi ni mwananchi ninayejitambua na kufuatilia mambo kwa kina!
Sifuati upepo wala kusulumwa na tamaa!
Unataka Rais afanye nini kwa wateule wake? Tatizo lipo kwenye katiba la kumpa mtu mmoja madaraka makubwa ya kufanya Kila kitu.
Unadhani waliofanya ufisadi wasingekuwa makada wenzake, wateule wake,marafiki zake na wapambe wake angeshindwa kuwashughurikia?
 
Sema hivi....

"Hakuna kitakachobadilika kama Kikwete ataendelea kuwepo na genge lake,huku akishikilia remote control "

Kwa nini kuumauma maneno!
Toka uhuru matatizo ni yaleyale hivyo acha kujificha kwenye kichaka Cha Kikwete. Tatizo kubwa la nchi hii ni ccm
 
Vyuma vilikaza kwa wezi na wabadhirifu wa mali za umma pamoja na mahawara zao kama nyinyi ambao sasa mnamsifia mama kwa mgongo wa chupa huku mkiifilisi nchi.

Ndio maana Samia sasa anawaita "Stupids"

Subirini mjadala wa ripoti ya CAG ufike ndio mtajua kwamba watu tuna hadira na nyinyi kiasi gani!
Povu tu huna lolote, hao wabunge waliopita kwa wizi wa kura unategemea lolote la maana kutoka kwao? Unategemea wajadili wizi huku na wao ni wezi?
 
mliokuwa na vyeti feki,wapigaji,mafisadi na wavivu kazini ndo mtazamo wenu huo.
Bwege lile lishamba na liuaji la Chato, kalisalimie huko liliko, liambie huku hakuna kuokota miili kwenye viroba tena
 
Kuna bei za vitu hutakiwi kuziweka hapa kwa maana bei hutokana na mazingira halisi. Mfano KYELA mchele huwezi nunua kwa 3200 huo ni Uongo, au Maharage Mbeya huwezi nunua kwa 3000.

Hali kama hiyo ipo kwenye NYAMA, huwezi nunua Shinyanga nyama 8500 lkn ukienda Mtwara utanunua 9000
Hali kadharika ukienda Mtwara Korosho utanunua kwa kilo 15000 lkn ukienda Arusha si chini ya 30000.

Unapotoa hoja zingatia mazingira, wewe uko Singida huko basi unadhani Tanzania nzima bei iko hivyo.
Yeye yupo dar baasi anahisi tz nzima ni dar. Hajui hata maana ya miradi ya maendeleo ye anajua barabara na reli tu. Madarasa ya Uvico yamejengwa nchi nzima,sensa imefanyika nk anakwambia hakuna kilichofanyika?
Sijui walisoma wapi hawa
 
Mwisho wa aibu unaoutaja ni upi mkuu?

Kwamba ubadhirifu uliotajwa na CAG ni wa Sukuma Gang au Msoga Gang?

Kama vile unateseka sana na kutumbuliwa vile?
Mawazo yako ni sawa na Cheti feki mmoja hivi.
Ndio sababu hujitambuwi tunaongelea mambo tofauti na tena nyeti na muhimu!wewe umekalia Sukuma Gang!
Cheti feki ndiyo kichaka chenu, naona unateseka sana mkuu, ila jua ndiyo maisha yalivyo so kubali matokeo tu kuwa mungu wenu kafa
 
Sasa tunao walamba asali, walamba shubiri, walala hoi na pia mafisadi papa na machawa wao! Mnajitoa akili sababu ya shibe haramu, mnasifia mlipostahili kukemea! Wabunge mmegeuka "wabonge". Mbunge mwenye akili timamu, anasimama na kuomba bei ya mafuta iongezwe (ulaaniwe Jerry Slaa). Bila hata aibu, wakati anaomba hivyo... Bei huko mitaani ziko hivi:
  • Sukari @kg 3,200/=
  • Mchele @kg 3,200/=
  • Sembe @kg 1,700/=
  • Nyama @kg 7,500/= mpaka 8,500/=
  • Mkaa gunia @ 70,000/=
  • Maharage @kg 4,000/=
Sasa bado hatujaongelea tozo kwenye miamala! Bei za vifaa tiba bei juu! Madawa bei juu, huku hata upatikanaji wake ukiwa ni 30% huko kwenye hospitali za umma. Kiwango cha elimu shule za umma iko hoi!

Malipo ya wafanyakazi wanaostaafu au kuachishwa kazi kwenye mifuko ya pensheni yamegeuka sababu kuu ya vifo kwa wastaafu hao, kisa hayatolewi kwa wakati stahiki.

Lakini wafanyakazi na maafisa wa mashirika hayo, wanazitumia pesa za wastaafu kwa kujikopesha kiasi kwamba, mikopo yao inaelekea kulingana na pato zima la mifuko hiyo!

Rushwa mitaani na kwenye ofisi za umma imerejea kwa kasi ya kutisha!

Ubadhirifu kuanzia miradi ya kimkakati hadi Tamisemi ni wa kutisha, na pengine ni haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.

Ripoti ya CAG inatisha kuisoma, halafu Spika wa bunge, anawazuia wabunge kuhoji bungeni... eti mpaka baada ya miezi saba kuanzia sasa.

Huku wajinga fulani, waandishi habari wasakatonge, wanajiundia cartel pamoja na mafisadi wa Tanesco, mafisadi wa mashirika ya mawasiliano, mafisadi wa hazina ya taifa, mafisadi wa miundombinu ya nchi hii.

Eti wanaandika kitabu kuhusu miradi ya wilayani Chato, kwamba ni kielelezo cha udikteta wa Magufuli.

Ila wanashindwa kutuandikia kama kuna tofauti gani kati ya miradi ya Chato na hii mingine ambayo yote aliiasisi Magufuli kama vile:
  • Mahospitali na vituo vya afya zaidi ya 360 nchi nzima.
  • Mitambo mipya ya vipimo kwenye hospitali zote za rufaa nchi nzima.
  • Miradi ya ujenzi wa masoko mapya ya kisasa mikoani.
  • Bwawa la umeme la JNHP.
  • Reli mpya ya kisasa ya SGR, ambayo sasa wanaifisadi kwa kwenda mbele.
  • Ujenzi wa meli mpya ziwa Victoria na Ziwa Nyasa, pamoja na ukarabati mkubwa wa MV Victoria.
  • Ujenzi wa daraja la Sallender, ambalo wao wamekuja kulipa jina jipya la Tanzanite.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Mto Wami.
  • Ujenzi wa daraja jipya la Kigongo - Busisi la kipekee na la kwanza kwa urefu Afrika Mashariki.
  • Ununuzi wa Rada mpya nne, uliopelekea nchi kuingiza mapesa ya kigeni, kutokana na huduma tunayoitoa kwa nchi jirani za Kenya, Rwanda, Burundi na DRC.
  • Ufufuaji wa viwanda vya viatu na samani, pamoja na kilimo vinavyomilikiwa na majeshi yetu ya Magereza, JKT na hata JWTZ.
  • Ununuzi wa madawati kwa shule zote za umma nchi nzima.
  • Kukomesha tatizo la ukatikaji wa umeme, iko chini ya shirika la Tanesco nchini.
  • Kuwakamata bila uoga mafisadi, pamoja na vibaraka wao na kuwasweka lupango bila uoga.
  • Kuondoa vyeti feki kwenye ajira rasmi za umma.
  • Kukomesha mishahara hewa na kutumbua wazembe na wabadhirifu bila haya.
  • Ujenzi na ukamilishwaji wa Nyumba za Maghorofa ya Magomeni Quarters!
  • Ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu UDSM na kuondoa kero iliyokuwepo.
  • Ujenzi wa miundombinu ya barabara za lami kote jijini Dar es Salaam.
  • Kuihamishia serikali makao makuu Dodoma na ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino!
Mambo ni mengi huwezi kuyataja humu yote.....
Magufuli hachafuki, kadri mnavyotaka kumchafua ndivyo mnavyochafuka nyinyi vibaraka wa mafisadi mpaka siku zenu zitakapotimia.
Wapi huko uliko maisha rahisi hivyo? kwetu nyama kilo 9500, sembe na dona 2200, sabuni ya jamaa 3500 wakati wa Magu ilikua 2000 kwa duka la jumla na mtaani 2500
 
Lakini,ni wewe ndiye unaonekana haujaanua matanga.Bado una sonona na ni sadist!Watu hawakuyapenda yale maisha ya kupelekeshwa,kufunguliana kesi za uongo,kupigwa bila kosa,kudhulumiwa mali na hata wengine kupotezwa na kuuwawa.Ni bora ujinyonge tu kama bei za bidhaa zinakushinda.KUMBUKA kutumia kamba ya bei rahisi na ujichimbie mwenyewe shimo la kukufukia.
Unaizungumziaje kesi ya ugaidi ya ambae kwa sasa ni mramba asali?
 
Teh teh teh!Hata uandike matakataka gani hautaeleweka.Wewe na vimbwenerehi wenzako wakati wa "maliyemu" aka mwendazake,mlikuwa mnaandika lugha za kukirihisha mkifurahia utoto wake.Sasa leo uje kwa kujidai unalalamika unadhani nani atakuunga mkono.Ukiwa lijinga usisahau hata nyayo zako.Kufilieni mbali na chuki zenu zisizo mashiko kwa Samia.Kufaaaa...kimbwenerehi mmoja!
Umeramba asali mpaka umekuwa lijinga sasa. Kila anaekosoa haimaanish anachuki hapana wengine tunakosoa sababu tunaipenda Nchi yetu.

#JPM was greatest leader
 
Ikitoka ccm, kuundwe serikali ya mseto kwa kuchagua watu makini kutoka vyama tofauti. Na baada ya muda fulani, itengenezwe Katiba yenye maslahi na Taifa.

NB: Hofu yangu ni moja tu; wanasiasa ni vigeugeu, wanafiki, wabinafsi, na hawaaminiki. Wakionja tu utamu wa madaraka, na wenyewe wanageuka kuwa kama wale waliopita.

Na tatizo hili ni sugu kwenye nchi zetu nyingi za Kiafrika. Mifano ni mingi sana. Kuanzia Afrika ya Kusini na ANC yao, Uganda na Museven, Senegal na Mark Sally, Ivory Coast na Ouwattara, nk.
Umeandika UPUPU
 
Ni mpumbavu mmoja kama wewe tu!
Ni mbinafsi mmoja tu kama wewe!
Ni mjingamjinga mmoja tu kama wewe!
Ambaye wajati tunaangalia yaliyoko mbele yetu,wewe bado umeshikilia koleo pembeni ya kaburi la mfu aliyeondoka Duniani miaka miwili iliyopita!

Ambae wewe Kinoamiguu mjinga ambae hata ripoti ya CAG bado unataka ukasome na Marehemu Magufuli!

Tatizo lako ni msongo wa mawazo uliopitiliza,....

Ninas8kitika kuchangia uraia na wapuuzi kama wewe usiyejitambua hata kujua ulikuja Duniani kufanya nini?
Duh, mbona unalipuka kama upo kwenye Siku Zako?
 
Back
Top Bottom