Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Tuache unafiki, sasa ndio nchi inagawanyika!

Acha upumbavu,ifike wakati muelewe kwamba kuwa CCM sio hoja ya kuwahusisha wote na huo upumbavu unaoendelea!

Sio kila mwana CCM anafurahia kinachoendelea kwa sasa!
Ndio maana hata upinzani wa kweli uko huko huko ndani ya CCM na sio huku kwa walambishwa asali.

Ndio sababu unaona huyo mama haishi panguapangua kwa hifu aliyonayo sababu anaujua ukweli.

Watanzania wengi mmelemazwa na huu upumbavu wa kuona kila mwanachama anashiriki ujinga wote wa chama chake ilhali sivyo inavyokuwa.
Mtafika wapi!? Kwani hiyo fedha ya uchaguzi mkuu mliyokwapua hujashirikishwa? wafuate wakugaie kidogo!
 
Na kwa sasa tangu mmeruhudiwa mikutano ni kipi positive mlichokifanya zaidi ya kuendelea kupigana na mfu Magufuli?

Ni kipi mnekifanya cha maana zaidi ya kuungana na kundi hilo hilo la wauwaji na kuendelea mapambio?

Kipi kimefanyika tangu mmesema demkrasia imerudi?

Nani alikwambia wananchi wanakula demokrasia?

Acheni kurtumikaView attachment 2593097
Ni nani alikuambia wananchi wanakula madaraja na ndege?
 
Hakuna mafanikio kama wasimamia katiba ni hawa hawa!
Hata katiba iliyopo hakuna mahali imeruhusu wizi wa mali za umma,hakuna mahali imeruhusu ubadhirifu na ufisadi.
Tatizo liko kwa wasimamia sheria,hasa pale mtu kama raisi anapotoa kauli tata za "kila mtu ale urefu wa kamba yake"

Katiba mpya ni takwa kuu la wanasiasa na sio hitaji kuu la wananchi.

Katiba mpya inayotafutqa ni ile itakayompunguzia rais madaraka!

Na wapinzani wengi wanaitaka hiyo kwa kuhisi huenda ikawapa upenyo na wao kuingia kuikomba hazina ya nchi.

Wanasisasa wa kiafrika ni wabaya kuliko hata majambazi wa silaha,maana hawana huruma nawananch maskini bali wamejaa ubinafsi na kuwaona wananchi kama misukule yao.

Kenya wamebadili katiba mara kadhaa na bado haijawaridhisha wanasiasa mpaka sasa wanalilia mabadiliko mengine kupitia BBI.

Mimi ni mwananchi ninayejitambua na kufuatilia mambo kwa kina!
Sifuati upepo wala kusulumwa na tamaa!
Ukiendelea na mentality ya namna hii utaendelea kupata sonona mpaka unaingia kaburini. Huwa wapumbavu ninyi mnanishangaza sana mnaposema katiba mpya sio takwa la watanzania! Huwa nikiona mtu kaja na hoja ya namna hii huwa namuona mpumbavu kabisa
 
Offocoz nchi imejah majizi na wezi mno SAS HV majiz wamaeshkia hatmu kila kitu Ni ufisadi na uongo ktk kutekelelza miradi ya nnchi ,sgr chali kifo kibaya sioni sgr ikifanya Kaz kwa miaka 5 mbeleni

Kipande Cha dar ddm kimewatoa jasho
 
Mwisho wa aibu unaoutaja ni upi mkuu?

Kwamba ubadhirifu uliotajwa na CAG ni wa Sukuma Gang au Msoga Gang?

Kama vile unateseka sana na kutumbuliwa vile?
Mawazo yako ni sawa na Cheti feki mmoja hivi.
Ndio sababu hujitambuwi tunaongelea mambo tofauti na tena nyeti na muhimu!wewe umekalia Sukuma Gang!
Yule jizi alitokomea na 1.5T ila cha kushangaza sukuma gang mkamtetea mpaka akamfukuza CAG. yule jizi hakutaka kuambiwa ukweli
 
Hii ndio Aina ya viongozi waTz tunastahili.watu wanaobishana Robertinho na Nabi Nani anajua,wanastahili serikali kama hii
 
Umeramba asali mpaka umekuwa lijinga sasa. Kila anaekosoa haimaanish anachuki hapana wengine tunakosoa sababu tunaipenda Nchi yetu.

#JPM was greatest leader
Wewe na msukuma mwenzio ni majinga yaliyoshiba michembe na masangu.
 
Back
Top Bottom