Akina muhasibu Kipenzi Changu wamekusaliti.🗣️ tangu October 29 sifatilii mpira mara nyie mmekomaa na mipira wakati nchi ipo kwenye hali ngumu " kumbe behind the wall ilikua ubovu wa Simba sasa hivi kila dakika nyuzi
Twende kwenye uzi wa Ballon d'Or kuleAkina muhasibu Kipenzi Changu wamekusaliti.
Naona kwa watu wa simba aliyekomaa na msimamo wake ni Scars tu ndio simuoni kwenye mambo ya Simba na soka la nyumbani kwa ujumla.
Alisema ato deal na soka la ndani Ata deal na nje tu.
Wengine wengi wametusaliti.