Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,646
- 140,199
View: https://youtu.be/ysrEn9vEb-M?si=EDdmtxh6RRcfPyhP
Tazama pass zilivyopigwa goli la kwanza na la tatu Achana na goli, angalia pressure waliyotia kipindi cha pili, kama nyuki.
Utateseka sana wewe msemaji wa Yanga JFHivyo sasa hivi ni mwendo wa kuingia youtube tu kurudia magoli ya 5imba. Lol.
Yaani.Utateseka sana wewe msemaji wa Yanga JF
Aliyemsajili Sele, Aziz na Shasha sio sisi, ni weweYaani mpaka nibakie mifupa ndo mtafurahi. 😔
Hivyo sasa hivi ni mwendo wa kuingia youtube tu kurudia rudia magoli ya 5imba. Lol.
Ni kweli. Japo na yule kocha naye alikuwa hamna kitu pale.Aliyemsajili Sele, Aziz na Shasha sio sisi, ni wewe
Mkuu hiyo tumewaachia nyie 5imba damu. 😂😂Sio 5imba andika 🦁imba 🔥 😂😂😂
Simba ya Barker ni ya moto sana 😍Mkuu hiyo tumewaachia nyie 5imba damu. 😂😂
Nasikia mpaka Manchester United nayo imegoma kabisa 🤣🤣🤣Pasi zimegongwa za kutosha, kabla goli la kideoni kufungwa
Nimepewa nyepesi nyepesi kwamba timu kadhaa zinataka kugoma kucheza na Simba hii 🤗
Daah! Tumekubali Mtani nyie tunyanyaseni tu.Simba ya Barker ni ya moto sana 😍
Liverpool ya Iraola nayo ni ya maziwa na asali 😋😋😋
Gundu lipo kwa hii CCM tu 🤣