Tuache masihara Simba Sc wanagonga mpira

Nasikia mpaka Manchester United nayo imegoma kabisa 🤣🤣🤣
Man UTD imegoma katu katu

Tena ilivyo mbovu saivi, nahisi itagongwa mkono kabisa 😅

Jangwani ndiyo hawataki kabisa kukutana na Simba hii saivi

Kuna Mzee mmoja wa Jangwani aliomba turudiane baada ya Ile mechi ya 2-1

Wamempokonya kadi na wamemfukuza uanachama kabisa wiki iliyopita 😅
 
Daah! Tumekubali Mtani nyie tunyanyaseni tu.

Ila Ikifika zamu yetu musihamie siasani tu mana ndio zenu. Safari hii tutawafuata huko huko. 😂
Aaah uzi wa Liverpool huwa sibanduki aiseee, kweli kutesa kwa zamu lakini Ushabiki wa Simba na Yanga ni zaidi ya vita vya Israel na Palestine 🤣🤣🤣

Inatakiwa ubalansi hisia ma mihemko na ndio maana huwa nakaa kimasta
 
Kumbe nawe chama kubwa?
Ndio Mkuu. Na najivunia.
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Aaah uzi wa Liverpool huwa sibanduki aiseee, kweli kutesa kwa zamu lakini Ushabiki wa Simba na Yanga ni zaidi ya vita vya Israel na Palestine 🤣🤣🤣
Yaani huwa ni zaidi ya vita kweli na ndo mana kuna wale wanaoenda mbali zaidi japo huwa siwakubali eti mtu kama ni Yanga basi humkuti akitumia kitu chekundu labda azidiwe.
Inatakiwa ubalansi hisia ma mihemko na ndio maana huwa nakaa kimasta
Yah! Uko sahihi.

Japo mbona si wengine tupo daily na tunajibalansi tu. Au wewe ndo wale lia lia sanaaa. 🤣
 
Yaani huwa ni zaidi ya vita kweli na ndo mana kuna wale wanaoenda mbali zaidi japo huwa siwakubali eti mtu kama ni Yanga basi humkuti akitumia kitu chekundu labda azidiwe.
Kuna uncle wangu ni Yanga lia lia na Brazil hatumii kitu chochote cha rangi nyekundu, hata mabasi ya rangi nyekundu huwa hapandi 😂😂😂
Yah! Uko sahihi.

Japo mbona si wengine tupo daily na tunajibalansi tu. Au wewe ndo wale lia lia sanaaa. 🤣
Mimi sio lia lia lakini kwa afya ya akili na moyo lazima kujibalansi aisee, kuna dada mmoja tulisoma naye primary huko, Mume wake alikufa siku ya ile mechi ya Azam na Simba , Simba anakufa 2-0 halafu yeye ni Uto 🐸 Pro akawa analeta mizaha na kejeli nyingi mpaka anakera (ni simulizi ya mke wake ilitokea mkoani huko ) Sasa wakati anarudi nyumbani kapanda bodaboda kumbe walikuwa wanamsikilizia mashabiki aliokuwa anawakera wa Simba alivyoondoka tu mida ya saa 3 kuelekea saa 4 usiku maana walikuwa wanaangalia mpira Bar, wakaigonga kwa nguvu ile bodaboda ikatumbukia mtaroni na mitaro ni ile mirefi na mikubwa (barabara za Tanroad) alikufa yule jamaa
 
Kuna uncle wangu ni Yanga lia lia na Brazil hatumii kitu chochote cha rangi nyekundu, hata mabasi ya rangi nyekundu huwa hapandi 😂😂😂
Daah! Umeona sasa. Ushabiki huu wa Simba na Yanga ni habari nyingine.
Mimi sio lia lia lakini kwa afya ya akili na moyo lazima kujibalansi aisee, kuna dada mmoja tulisoma naye primary huko, Mume wake alikufa siku ya ile mechi ya Azam na Simba , Simba anakufa 2-0 halafu yeye ni Uto 🐸 Pro akawa analeta mizaha na kejeli nyingi mpaka anakera (ni simulizi ya mke wake ilitokea mkoani huko ) Sasa wakati anarudi nyumbani kapanda bodaboda kumbe walikuwa wanamsikilizia mashabiki aliokuwa anawakera wa Simba alivyoondoka tu mida ya saa 3 kuelekea saa 4 usiku maana walikuwa wanaangalia mpira Bar, wakaigonga kwa nguvu ile bodaboda ikatumbukia mtaroni na mitaro ni ile mirefi na mikubwa (barabara za Tanroad) alikufa yule jamaa
Daah! So Sad ila walimfanyia vibaya sana aisee.
 
Ila hii logo, mara netball mara ngumi. Daaah
Mashabiki wa simba mnanifurahisha sana.

Timu lenu likifanya vibaya mnajifanya wazalendo hamataki mambo ya mipira mara mauaji ya October 29 na porojo nyingjne za kujifichia maumivu.

Mkiwa mnafanya vizuri tu mnarudi kama mchwa kuishabikia timu yenu.

Tate Mkuu
 
Nilichokiona kwa Simba, ukiwapa uhuru unawafanya waonekane bora na watakuja golini kwako kama nyuki, ila ukiwachezea mpira wa nguvu na pressing na kasi, huwa wanapoteana. Hilo niliona vs Yanga katika ngao ya jamii na pia mechi ya away vs Mighty wanderers. Binafsi bado kuhitimisha kama timu ina ubora, kwasababu mpaka sasa katika timu iliyokutana na Simba hakuna timu inayosimama katika mzani unaofanana na Simba kiuwekezaji, thamani ya kikosi, kimbinu na kiufundi ( ukiachana na Yanga mbovu ya Manqoba). Nasubiria hatua ya makundi nione dhidi ya wapinzania wenye viwango.

Hatua ilipofikia timu zetu kwasasa ni makundi uhakika kucheza kutokana na aina ya wapinzania wanaopangiwa baada ya kuwa juu katika ranking, hakuja ajabu hivyo tuone mashindano yakianza rasmi
 
Daah! Umeona sasa. Ushabiki huu wa Simba na Yanga ni habari nyingine.
Yaani yule uncle kitu chekundu anachokipenda labda noti ya sh 10,000 tu
Daah! So Sad ila walimfanyia vibaya sana aisee.
Yule Dada kabaki mjane na watoto watatu, huu ushabiki wa hizi timu usikuzidi akili. Kuna jamaa yangu naye mke wake alikuwa Shabiki wa Yanga alishangilia sana ile 5-1 mpaka alizimika na akafa
 
Yaani yule uncle kitu chekundu anachokipenda labda noti ya sh 10,000 tu

Yule Dada kabaki mjane na watoto watatu, huu ushabiki wa hizi timu usikuzidi akili. Kuna jamaa yangu naye mke wake alikuwa Shabiki wa Yanga alishangilia sana ile 5-1 mpaka alizimika na akafa
Hahahaaa. Na hapo ukute ni vile hana namna tu ya kuishi bila kushika hiyo elfu 10.

Hiyo mechi hata wenye kuzimia walizimia hasaa. Ila kikubwa kabisa ni kama usemacho huu ushabiki usizidi akili.
 
Yaani yule uncle kitu chekundu anachokipenda labda noti ya sh 10,000 tu

Yule Dada kabaki mjane na watoto watatu, huu ushabiki wa hizi timu usikuzidi akili. Kuna jamaa yangu naye mke wake alikuwa Shabiki wa Yanga alishangilia sana ile 5-1 mpaka alizimika na akafa
Hii game sitaisahau, mimi sio shabiki wa kunywa maji ya bendera ila nakumbuka nilienda kuangalia bar kwani nilikua na usongo nayo.
Mechi ilivyoanza kabla yanga hajaanza karumu yake ya mabao waliokua karibu yangu waliamini mimi ni shabiki wa yanga ila nafanya unafiki kwani niliisifia intensity na aggressiveness ya yanga ambayo simba hakuihimili,basi nikawaambia leo yanga wakikaa vizuri mbele ya lango tunaondoka na aibu,ndio ikawa vile tena tukachapika kisawa sawa.
 
Back
Top Bottom