nijipe promo kwani kuna anayenijua umu?? mmezoea kusikia matatizo tu mtu akiongea upande mzuri kuhusu yeye. ni kachokoza vita...alafu tunajiuliza kwa nn waTz hatuendelei..!!
Tatizo haswa nini?? mie kusema maisha yangu halisi??...ningeleta bandiko la kulia leo sina hela ya kula ndio mnachopenda kusikia?....karibu coralbch spur menu yao utapenda mwenyewe.