Tuache kuvuta Bangi Jamani...

tovuti

Senior Member
Oct 29, 2009
160
11
Bangi.jpg
...............
 
duuh kweli bangi mbaya,inakufanya uone kila kitu kidogo na una uwezo wa kufanya chochote.
 
Bangi noma.Niliwahi kuvuta nilipokuwa Primary.Siku moja tu.Basi siku hiyo nilianzisha ugomvi na jamaa aliyenizidi kila kitu:umri,mwili,nguvu na vinginevyo.'Nikaumuliwa' vya kutosha...
 
Ganja haina shida hizo mazee hawa wanamirembe hao wametoroka hospital yao
 
Ukitaka kushuhudia bangi linavutwa hadharani nenda kwenye viwanja kunakofanyikia Fiesta
 
At least wamepatia sehemu ya kupunguzia nguvu zao na kupata njaa ya msosi mwingine
 
Amna bhana bangi sio mbaya kiivyo.inategemeana na matokeo kati ya mtu na mtu.
Wengi wao wanovuta ni wale ambao matokeo yake ni hasara kwao na sio faida...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom