Tuache kuvuta Bangi Jamani...

Tuache kuvuta Bangi Jamani...

Bangi noma.Niliwahi kuvuta nilipokuwa Primary.Siku moja tu.Basi siku hiyo nilianzisha ugomvi na jamaa aliyenizidi kila kitu:umri,mwili,nguvu na vinginevyo.'Nikaumuliwa' vya kutosha...
ID yako na hayo maelezo yako yaani huku sin mbavu. Na lazima ulivta ya Longido au Tabora. Pole sana rafiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom