S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,625
- 32,752
We acha tu mkuu. Wanatia hasira sana wanaoendeleza huu ujingaKila siku wanahangaika kumtetea. Yeye amekaaa kimya tu, njia bora ya mawasiliano aliyochagua yeye ni kitabu kilichotengenezwa kwa vitabu vidogo vidogo vilivyoandikwa maelfu ya miaka iliyopita. Vitabu ambavyo vingi havijulikani waandishi wake halisi, vitabu ambavyo vimepitia sana oral traditions (mapokeo ya kimasimulizi) nyingi kabla ya kuwekwa kwenye maandishi.